Ushamba wa wabongo, Viewers wa youtube si kigezo cha uzuri wa wimbo

Sema kwako,na utukome WCB4LIFE CHAMA LAO
 
Unaboa na unew member wako Hamna kiki
 
Kwahiyo sense ni vision tu... au sio? Sikiliza audio wewe wacha tabia ya kushangaa magorofa kupitia nyimbo za daimond ... njoo mjini uje kuyaona live kama hauna nauli tutakuchangia
Wewe mwenyewe wa bush,umepata kasimu juzi baada ya kwenda mjini kulima lami
 
Mshumaa hali mbaya huko you tube[emoji23][emoji23][emoji23],hata views laki 3 hakuna,wenzake wanatafuta milioni 2, ngoja tuone itakavyokuwa...maji na mafuta huwa havichanganyiki .
 
Nafikiri nina miaka zaidi ya kumi sijaangalia video za wasanii wetu lakini nilichokutana nacho baada ya kusikia sifa nyingi za video ya baba lao nimejikuta nairudia si chini ya mara 6!! Diamond ni something else aisee!

Sasa nakubali tuache kumlinganisha hovyo! Baba lao ni baba lao kweli!
 
Mziki wa sasa hivi unapimwa na takwimu zitokanazo na digital platform kama Youtube,Sportfy,Tidal,Shazam,I-Tunes nk.

So kama wewe haupendi wenzako walio wengi wana upenda na namba zinaonekana Youtube,bahati nzuri ukiangalia msanii mwenye Viewers wengi hata shows anazo nyingi,followers anao wengi social network mathamtically kila kitu anacho achieve ni directly proportional na idada ya viewers na followers ktk social network.

Kama ingekuwa vice versa ndio tungekuwa na wasiwasi.
 

Wacha ukilaza wewe.... kwahiyo muziki ni video?
 

Followers wenyewe vilaza wanaofuata umbea wa zari na hamisa mobeto kisa domo kawakaza ... kuwa serious followers wa domo hawafuati mziki
 

Hakuna kitu kunachoitwa mziki wa sasa ... kama wao wanaimba mziki wa sasa mbona wanarudia nyimbo za zamani za kina saida kalori na ile siri ya nini... mziki ni mziki... na mziki siku zote utabaki kuwa audio ... nyie endeleeni kukata viuno kwenye video lakini kaeni mkijua hiyo ni hulka yenu tu na msisingizie muziki.
 
Sijawahi kumchukia Dimond na sijawahi kuchukia wimbo wake ila huu wimbo wa #baba lao## ni mbayaaaaaa ni mbayaaaaaaa ni mbayaaaaaaa
 
Followers wenyewe vilaza wanaofuata umbea wa zari na hamisa mobeto kisa domo kawakaza ... kuwa serious followers wa domo hawafuati mziki
Lkn ndio follwers hao wanao mpa ugali Youtube,Tidal,Itunes,sportfy nk na ndio wanamfanya apate shows nyingi kuliko yoyote Tanzania wewe piga kelele mwenzako yake yana mwendea.

Wewe endelea kuwasupport hao unao waona bora,kwani usichokipenda wewe wenzako walio wengi wanakipenda kwa hiyo hupunguzi kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…