Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Ndo hit now okUkitaka uamini kasikilize baba lao hahahahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo hit now okUkitaka uamini kasikilize baba lao hahahahah
Kalale member mpya huu sio mda wakeBora uwe masikini lakini sio mshamba wa akili kama wewe
Sema kwako,na utukome WCB4LIFE CHAMA LAOMkuu ni kweli nyimbo ni mbaya sana sana,watoto wa wcb hawawezi kukuelewa maana hata mziki hawajui na wengi wao wamezaliwa miaka ya 90 hadi 2000 hapo .
Wanakula kwa baba na mama mpaka leo.usipoteze muda kubishana nao.maana wao kichwani ipo wcb tu, halafu wanataka kulazimisha watu mziki ndio huo.hata kama nyimbo mbovu na wamekopy.
Unaboa na unew member wako Hamna kikiHapo ndiyo wabongo mnapoanzaga umbumbumbu sijazungumzia hela hapa...nikukumbushe tu nimezungumzia ubora wa wimbo.
Sasa wewe kwa hizo views zao wakipata hela wewe kama shabiki inakusaidia nini? Usitetee upuuzi wa hao wasanii wako ...wanaharibu mziki wa bongofleva.
Afu wewe ni mbumbu+msukule okYani hawa praise and worship wa WCB ni misukule kabisa
Sawa mama kiba100Sawa mama dangote mke wa anko shamte
Wewe mwenyewe wa bush,umepata kasimu juzi baada ya kwenda mjini kulima lamiKwahiyo sense ni vision tu... au sio? Sikiliza audio wewe wacha tabia ya kushangaa magorofa kupitia nyimbo za daimond ... njoo mjini uje kuyaona live kama hauna nauli tutakuchangia
Toka hapa umeitwa?Hizi taarabu sasa tena zaid ya zile za penseli
Wewe nae umebinuliwa matako kwa sitaili ya popo kanyea kambi yaani unajuta hiiNaona baada ya kutoka kubinuliwa makalio kwa staili ya kingedere ngedere na mumeo chibu umekuja speed chupi imekuloa..... hapa utapoteana ndugu yangu
Rudi shule watakukubalia maana bado boyaKwahiyo sense ni vision tu... au sio? Sikiliza audio wewe wacha tabia ya kushangaa magorofa kupitia nyimbo za daimond ... njoo mjini uje kuyaona live kama hauna nauli tutakuchangia
Sawa mama kiba100
Nafikiri nina miaka zaidi ya kumi sijaangalia video za wasanii wetu lakini nilichokutana nacho baada ya kusikia sifa nyingi za video ya baba lao nimejikuta nairudia si chini ya mara 6!! Diamond ni something else aisee!
Sasa nakubali tuache kumlinganisha hovyo! Baba lao ni baba lao kweli!
Mziki wa sasa hivi unapimwa na takwimu zitokanazo na digital platform kama Youtube,Sportfy,Tidal,Shazam,I-Tunes nk.
So kama wewe haupendi wenzako walio wengi wana upenda na namba zinaonekana Youtube,bahati nzuri ukiangalia msanii mwenye Viewers wengi hata shows anazo nyingi,followers anao wengi social network mathamtically kila kitu anacho achieve ni directly proportional na idada ya viewers na followers ktk social network.
Kama ingekuwa vice versa ndio tungekuwa na wasiwasi.
Wewe nae umebinuliwa matako kwa sitaili ya popo kanyea kambi yaani unajuta hii
Mziki wa sasa hivi unapimwa na takwimu zitokanazo na digital platform kama Youtube,Sportfy,Tidal,Shazam,I-Tunes nk.
So kama wewe haupendi wenzako walio wengi wana upenda na namba zinaonekana Youtube,bahati nzuri ukiangalia msanii mwenye Viewers wengi hata shows anazo nyingi,followers anao wengi social network mathamtically kila kitu anacho achieve ni directly proportional na idada ya viewers na followers ktk social network.
Kama ingekuwa vice versa ndio tungekuwa na wasiwasi.
Lkn ndio follwers hao wanao mpa ugali Youtube,Tidal,Itunes,sportfy nk na ndio wanamfanya apate shows nyingi kuliko yoyote Tanzania wewe piga kelele mwenzako yake yana mwendea.Followers wenyewe vilaza wanaofuata umbea wa zari na hamisa mobeto kisa domo kawakaza ... kuwa serious followers wa domo hawafuati mziki