Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
TAKUKURU yenyewe iko wapi? hii ya CCM?Kama hajasingiziwa TAKUKURU ifanye KAZI yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TAKUKURU yenyewe iko wapi? hii ya CCM?Kama hajasingiziwa TAKUKURU ifanye KAZI yake.
Tumezoea mtu mwenye Mamlaka au maamuzi wakihongwa ili kupindisha au kunyima haki,huyu nondo ana kampuni Gani,au mkandarasi,au nafasi Gani ya umma au huyu tundu alitakiwa kufanikisha nini ili ahongwe,Sasa kama aliumizwa na amechangiwa na halaiki ya watz,Kuna shida huyu mwenye fedha kutaka na yeye kuchangia!Mimi sijaelewa .Abdul aende huko mahakamani ili tumjue na kiongozi wa Chadema aliyeandamana nae ambae Lissu anaogopa kumtaja kwa jina.
Thubutuuu.! Anajua athari yake kwake na atamponza Bimkubwa wake. Ila huyo kijana ana akili ndogo sana alishindwaji kupima hatari ya yeye kujiweka mbele kwenye operesheni kama hiyo anayofanya ya kugawa fedha kuwanunua wapinzani?Salaam, Shalom!!
TUNDU Antipas Lissu amekuwa akirudia sana kuwa mtu aitwaye Abdul,amewahi kumfuata na kutaka kumhonga na kushindwa kutimiza Nia hiyo Kwa Lissu.
Lissu amekuwa akirudia mara Kwa mara jambo hili, Jana tena amesema akihojiwa na Ndugu Odemba Star tv.
Sasa ni muhimu Ndugu Abdul aende court kupitia wanasheria wake Ili kujisafisha na tuhuma hizi kubwa dhidi yake.
NB: Ukimya nao ni jibu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿 Amen
Pia soma:Kuelekea 2025 - Tundu Lissu: Abdul (mtoto wa Rais Samia) alitaka tukutane kwenye hoteli moja Masaki anihonge, nikamwambia njoo kwangu
Mbaya ni kwamba kwa mahakama zetu unaweza nguli wa Sheria ila mahakama ikakuzuia kuonyesha umwamba wakoKwa Lisu, sheria siyo taaluma pekee bali ni sehemu ya ubongo wake. Kama Abdul anataka kuumbuka athubutu kukanyaga mahakamani.