Kiongozi msuya
New Member
- Jan 22, 2024
- 3
- 0
Anataka kwnd chuoYeye anataka nn? Lazima ujue uhitaji wake.
Asante mkuuUkisema chuo kwa haraka haraka watu wanajua chuo cha kusomea shahada! Sema umpeleke vyuo vya ufundi na taaluma zinakazompatia ujuzi katika ngazi ya cheti au diploma! Baaasii!
Division two kwenda A level haina uhakika 💯 kwasababu wengi wana Division one! Angepata Division one ungekuwa na uhakika! Subiri mpaka post za advance zitoke ndo ufanye uhamuzi sahihi! leylaomary
Kama ni science mtoto aende 5 na 6 ... dunia inaitaji watu competent ..chuo atakuwa shallow.Jamani naombeni munisaidie ushauri mwanangu amemaliza form four na amepata division two ya kumi Na nane masomo ya science.
Je, nimpeleke chuo Moja kwa moja au aendele na form five.
Msikilize mtoto.Anataka kwnd chuo