Ushauri: Aende kidato cha tano au chuo?

Ushauri: Aende kidato cha tano au chuo?

Kiongozi msuya

New Member
Joined
Jan 22, 2024
Posts
3
Reaction score
0
Jamani naombeni munisaidie ushauri mwanangu amemaliza form four na amepata division two ya kumi Na nane masomo ya science.

Je, nimpeleke chuo Moja kwa moja au aendele na form five.
 
Ukisema chuo kwa haraka haraka watu wanajua chuo cha kusomea shahada! Sema umpeleke vyuo vya ufundi na taaluma zinakazompatia ujuzi katika ngazi ya cheti au diploma! Baaasii!
Division two kwenda A level haina uhakika 💯 kwasababu wengi wana Division one! Angepata Division one ungekuwa na uhakika! Subiri mpaka post za advance zitoke ndo ufanye uhamuzi sahihi! leylaomary
 
Yeye anataka nn? Lazima ujue uhitaji wake.
 
Ukisema chuo kwa haraka haraka watu wanajua chuo cha kusomea shahada! Sema umpeleke vyuo vya ufundi na taaluma zinakazompatia ujuzi katika ngazi ya cheti au diploma! Baaasii!
Division two kwenda A level haina uhakika 💯 kwasababu wengi wana Division one! Angepata Division one ungekuwa na uhakika! Subiri mpaka post za advance zitoke ndo ufanye uhamuzi sahihi! leylaomary
Asante mkuu
 
Jamani naombeni munisaidie ushauri mwanangu amemaliza form four na amepata division two ya kumi Na nane masomo ya science.

Je, nimpeleke chuo Moja kwa moja au aendele na form five.
Kama ni science mtoto aende 5 na 6 ... dunia inaitaji watu competent ..chuo atakuwa shallow.

Lakini kama nia yako apate tu degree basi mpeleke chuo.
 
Back
Top Bottom