kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Mimi naona dharau kwa kipindi hiki ambacho kapata mtotoKama bado ana vutia usiache kupiga ni muhimu sana afu mengine utaangalia mwenyewe uendelee ama uache
moyo wangu unasema hivyo hivyo 🏃🏃huo ni mtego kimbia majukumu ya kulea mtoto wa mwanaume mwenzako
ushauri unahitajika
Kulea ni maamuzi brother unaweza piga na usilee ila anyway sikiliza moyo wako.moyo wangu unasema hivyo hivyo 🏃🏃
Imagination zako tu hizi.Je, tuko tayari kumuomba Mungu atufundisha jinsi ya kuwa na upendo kama ule wake kwa sababu tukipenda kama vile Mungu anavyopenda tutawapenda wengine hata kama hatupati faida yoyote.
Sasa basi kuna msichana tulimaliza wote o-level miaka ya nyuma kidogo nilikuwa namkubali sana ila alinipiga chini, sasa amerudi na ana mtoto anadai ananipenda!
Naomba ushauri wakuu.
of course mkuu mimi ni kama chaguo la mwishoWewe ni chaguo lake la mwisho baada ya kufeli kote; kama upo tayari, endelea naye.
Note: Siku machaguo yake ya mwanzo yakitaka kupasha yatapewa yote.
nakaziaMimi naona dharau kwa kipindi hiki ambacho kapata mtoto
😂😂 rest in peace kiptumMkuu unawafahamu hawa watu? Kipchoge, Simbu, Kiptum(RIP)
Kama unawafahamu basi katika hili fanya kazi ya hao jamaa. Kama huwafahamu basi fanya kile alichokifanya Hamorapa siku Nape anatolewa bastola na yule jamaa wa usalama