bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Halafu akikaa sawa baada ya jamaa kumuinua kiuchumi atapigwa chini tenaWewe ni chaguo lake la mwisho baada ya kufeli kote; kama upo tayari, endelea naye.
Note: Siku machaguo yake ya mwanzo yakitaka kupasha yatapewa yote.
Pia anaweza akampenda zaidi na kumuheshimu milele kwani keahajifunza makosa yakeMwambie akale alikopeleka mboga.
Huyo hajakupenda bali njaa na kutishiwa soko ndio sababu ya kutaka muwe wote.
Upendo hauko hivyo, ukiishi na mtu asiyekupenda mwisho ni kilio
sio kwamba ana njaa mkuu maana ameajiriwa NGO flani yupo vizuri wastani ila hafiki level zangu mkuuMwambie akale alikopeleka mboga.
Huyo hajakupenda bali njaa na kutishiwa soko ndio sababu ya kutaka muwe wote.
Upendo hauko hivyo, ukiishi na mtu asiyekupenda mwisho ni kilio
Acha hiyo takataka!
Inaonekana mzee na wew umekolea, hapa unatupanga tu!sio kwamba ana njaa mkuu maana ameajiriwa NGO flani yupo vizuri wastani ila hafiki level zangu mkuu
🤣🤣 No mkuu sijakolea ila anakuja race sanaInaonekana mzee na wew umekolea, hapa unatupanga tu!
Kaishiwa soko. Hako kagape ulichomwacha ndicho kinachompa tamaa.sio kwamba ana njaa mkuu maana ameajiriwa NGO flani yupo vizuri wastani ila hafiki level zangu mkuu
nashukuru sana mkuuKaishiwa soko. Hako kagape ulichomwacha ndicho kinachompa tamaa.
Hakupendi
●Kuoa single maza ni kujipotezea heshima. Familia, watu wa ukoo, marafiki lazima wamshushe thamani. Jamii pia lazima imuone fara mabinti kibao hawajazaa wanasubiri waume wa kuwaoa yeye anataka afanye maisha na malaya aliyezalishwaCc Mzee wa kupambania aione kwenye jalada.
Sasa basi kuna msichana tulimaliza wote o-level miaka ya nyuma kidogo nilikuwa namkubali sana ila alinipiga chini, sasa amerudi na ana mtoto anadai ananipenda!
Naomba ushauri wakuu.
Achana nae mtu kama uyo ata anaeza kukusngizia mimba hujui karudije ata magonjwa waeza pata😂😂 rest in peace kiptum
nilikuwa namkubali sana ila nashanga hata alivyoondoka ondoka kwenye maisha yangu