Ushauri: Alinikataa, sasa ana mtoto anadai ananipenda anataka turudiane!

Katelekezwa alikozaa
 
Mpe mimba nyingine halafu piga chini ili awe mama wa mataifa
 
I dare you mkuu ingia kichwa kichwa Kwa huyo singo mamu uone utakavyo pigika,I dare you.
 
Chukua ushauri huo kutoka kwa mzinifu
Mkuu Mimi Sina uzinifu ila jamaa anajishauri Nini wakati hata ye first option ilikuwa kupiga
Haya maisha we live only once vaa ndom enjoy maisha ni haya haya
 
Jibu ni rahisi sana, je anajiweza kiuchumi kama hajiwezi kiuchumi huyo anaitaji financial support tu kutoka kwako ili aweze kukidhi mahitaji yake. Na kama financially yupo Ok basi hapo awali wewe haukuwa sampuli ya wanaume aliokuwa anawahitaji so huko alipokuwa kapigwa na kitu kizito anaona arudi tu by the way.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…