Ushauri: Alinivumilia wakati sina kazi lakini tukaacha nilipokaribia kupata kazi, nimepata mwingine sasa haachi kunisumbua turudiane

Huyo hakufai.

Mtom*** kisawasawa halafu mwambie hutaki mbiringe aende zake.

Mwanamke asiyeweza kuvumilia hali ngumu za mpito hafai kuwa mke.

Mgonge sawasawa na ukate mawasiliano naye.
 
Hekima ya ki Mungu inahitajika hapo,usikurupuke...
 
Hili suala sio kwa mwanamke wako tu, wanawake wengi sana huwaga wanavumilia siku chache za mwanzoni kama huna ajira ila baada ya hapo anaanza kukuonyesha red flags.Huyo mwanamke hakufai mana yupo kimaslahi zaidi na siku ukipoteza hiyo kazi ataondoka tena.Ingekua wewe ndo mimi ningemtumia tu huyo mwanamke ila hafai kwa kuoa mana wanaume huwa hatukatai mbunye.
 
Mpe namba zangu huyo demu wako wa kitambo nimwambie aache usumbufu kwako.
Wanaume wamejaa tele.
 
Huyo hakufai.

Mtom*** kisawasawa halafu mwambie hutaki mbiringe aende zake.

Mwanamke asiyeweza kuvumilia hali ngumu za mpito hafai kuwa mke.

Mgonge sawasawa na ukate mawasiliano naye.
Ahhhh sawa mkuu
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Copy that chief
 

inaonekana pia wewe ndo ulikua tatizo

kwanza kwa kusema "hela yake kuipata ilikua ngumu"

pili alishindwa kujupa hela ya kwenda bukoba kwaajili amenunua kiwanja,
je kama alinunua kweli na Hana na je ndo wajibu wake kujupa nauli ?

you have to play your party katika stori chache uliyotoa inaonyesha kuna mengi zaidi yaliyotokea kufanya akuchoke,

amekuvumilia huna hela na kazi bado umuombe ?
 
Msikilize mkuu.

Then kukuvumilia huwa mnamaanisha nini?

Je kukupa chakula
Access ya ngono au ?

Nadhani ungesema kuwa tumepitia changamato pamoja Ila kuvumilia sijui unamaanisha .
 
Hivi ishu ndogo kama hii inakushinda vipi kuisolve..????!!

If you can't make your own decisions as a man ,, basi utakuwa ni mtu wa kuteseka sana kwenye safari yako ya mahusiano.
 
Kwann anisumbue turudiane hiyo nd shida yaan amenishikilia koo
 
Hivi ishu ndogo kama hii inakushinda vipi kuisolve..????!!

If you can't make your own decisions as a man ,, basi utakuwa ni mtu wa kuteseka sana kwenye safari yako ya mahusiano.
πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Msikilize mkuu.

Then kukuvumilia huwa mnamaanisha nini?

Je kukupa chakula
Access ya ngono au ?

Nadhani ungesema kuwa tumepitia changamato pamoja Ila kuvumilia sijui unamaanisha .
Kama ulivyosem chief hata haikuwa access ya ngono wala chakula but as mwanaume lazima uhudumie ileile lakin alikuwa anaelewa Hali yangu maan tulikuwa sehemu tofauti(long distance relationship)
 
Cha ukushauri ni kwamba mwabie mkeka umeshachanika tena kwa timu moja tuu
 
Kama ulivyosem chief hata haikuwa access ya ngono wala chakula but as mwanaume lazima uhudumie ileile lakin alikuwa anaelewa Hali yangu maan tulikuwa sehemu tofauti(long distance relationship)


We msikilize uone Ana habari gani Ila kuhusu kukuvumilia hiyo hoja haina nguvu mkuu.

Maana Kama angekuwa anakudai ungeweza kusema hivyo. Na Kama alifanya mambo chanya huo wema utamrudia hautopotea bure.

Mimi navyomtazama mke wako au mchumba Ana tatizo la fixed mindset.

Alikuwa anataka assurance kupitia hali yako ngumu ya maisha.

Hii hali huwa inawapata na wanaume pia kupenda kumuona mwanamke yupo financial broke kuwa ndo njia ya kummiliki. The same too imetokea kwa MTU wako.


Unachoweza kufanya mwambie abadilike awe na Growth mindset mwambie wanaume wenye pesa wapo real Sana.


Kuna mwanamke akijua upo financial broke ndo anakupenda Ila ukitoboa anapata wasiwasi

Tabia za watu unabidi uzijue mkuu ili usigombane nao
 
Aah kukunyima hela sio kama hakupendi na yeye kama binadamu anapitia changamoto sema hakuambii tu

ungechek hata na ndugu zako pia sio kila kitu unambebesha mwenzio mzigo akati una miguu na mikono
 
as far as hukuoffer anything kwa hio union yenu

Dada ukute alitumia nauli yake mkadinyane, alitumia hela yake kujihudumia ,akakusupport pia emotionally ndo mwenyewe huyo
 
Muxt tufanye unanishauri mimi huo mkasa, ungenishaurije? Tuanzie hapa.

Pili, haujasema chanzo cha kuachana na uyo mwanamke wa kwanza na ni muda gani umepita.

Ila, nnachoweza kukushauri, ukiachana na mwanamke, ikivuka miezi mitatu, basi kamwe usirudi nyuma.
 

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… ila
mkuu unapenda ona watu wanamatatizo yaakili sijui kwanini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…