Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapenzi (kutomban(a)) ndio kutamu.Asubutuuuuuu😊😊!
Mapenzi matamu lo.
Mapenzi (kutomban(a)) ndio kutamu.
#YNWA
[/QtUOTE]
@Smart911 boss kubwa Naomba mwongozo juu ya hilii kwanzaa
Eti ni kweli ???😊
😅😅😅😅😅 ila
mkuu unapenda ona watu wanamatatizo yaakili sijui kwanini
Mapenzi (kutomban(a)) ndio kutamu.
#YNWA
[/QtUOTE]
@Smart911 boss kubwa Naomba mwongozo juu ya hilii kwanzaa
Eti ni kweli ???😊
Mapenzi (kutomban(a)) ndio kutamu.
#YNWA
Tangu pale aliniisha hamu nikaona kumbe mwenzangu alishamove on. Mimi nikaja zangu Bukoba nikapatana na kadada kengine nipo naye lakin yule mwanamke wangu wa mwanzo haachi kunisumbua muda wote anataka turudiane.
Kwakwel ananipasua kichwa maana nakosa cha kufanya ananilalamikia sana kwahiyo naomba ushauri wana jukwaa.
🤡🤡🤡Kuna mbwa mmoja alinitesa sana wakati sijajipata. Yaani hua nikikumbuka aliyonifanyia napata sana chuki dhidi yake
Mwezi wa12 tuliachana mwezi wa tatu nikapata kazi asahv simu haziishi kabisaMuxt tufanye unanishauri mimi huo mkasa, ungenishaurije? Tuanzie hapa.
Pili, haujasema chanzo cha kuachana na uyo mwanamke wa kwanza na ni muda gani umepita.
Ila, nnachoweza kukushauri, ukiachana na mwanamke, ikivuka miezi mitatu, basi kamwe usirudi nyuma.
Chanzo alidai simpi muda wa kutosha mkuu amechokaMuxt tufanye unanishauri mimi huo mkasa, ungenishaurije? Tuanzie hapa.
Pili, haujasema chanzo cha kuachana na uyo mwanamke wa kwanza na ni muda gani umepita.
Ila, nnachoweza kukushauri, ukiachana na mwanamke, ikivuka miezi mitatu, basi kamwe usirudi nyuma.
Chukua wote 😁Guys ninaomba ushauri,
Nina mwanamke wangu nilikuwanaye kwenye mahusiano tangu nipo nasoma mpaka namaliza lakini ilinichukua kama mwaka na nusu bila kupata kazi.
Wakati huo yeye alikuwa na kazi anauza duka la cosmetics la mtu. Nilikuwa sina hela mwanamke alinivumilia sana ingawa hela yake kuipata ilikuwa ngumu.
Miezi miwili kabla ya mimi kupata kazi tukaachana sijui alichoka kuvumilia au vipi. Mimi nikapata kazi siku jina langu limetoka tu nikamtafuta maana bado nilikuwa na feelings naye nikamwambia anisaidie hela ili niende huko Bukoba kwenye kituo cha kazi, akaniambia hana hela maana hela zote alizokuwa anatunza amenunua kiwanja kwao.
Tangu pale aliniisha hamu nikaona kumbe mwenzangu alishamove on. Mimi nikaja zangu Bukoba nikapatana na kadada kengine nipo naye lakin yule mwanamke wangu wa mwanzo haachi kunisumbua muda wote anataka turudiane.
Kwakwel ananipasua kichwa maana nakosa cha kufanya ananilalamikia sana kwahiyo naomba ushauri wana jukwaa.
We bwa mdogo yaani ulishindwa kuomba hata ndugu zako? unaloloma hapa kwa hela za mwanamke.nikamwambia anisaidie hela ili niende huko Bukoba kwenye kituo cha kazi, akaniambia hana hela
Ulikua unataka naulinikamtafuta maana bado nilikuwa na feelings naye