FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Gari ni Nissan Murano, ipo Garage, ina miss wanasema. Interior imechakaa sana. Engine V6.
Alipe kiasi gani kuinunua?
Alipe kiasi gani kuinunua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh, sio 3 kweli?Akikupiga sana 5M
Ndomaana nikakwambia akikupiga sana. Hata 3 mnaweza kufanya biashara resale value ya hizo gari huwa ni ndogo sanaMmh, sio 3 kweli?
Je, inapatikana madukani au mpaka kuagiza njeInterior imechakaa sana. Engine V6.
Alipe kiasi gani kuinunua?
Duuh, kwahiyo 2 au 😅😅Hata 3M ni hasara unatupa hela yako hapo kama unabisha jaribu.
Sawa unauziwa box tupu ndani hakuna kituAchana na hiyo gari usinunue hata akisema laki 5
Murano inafanana na discovery 3-4 za mkononi.Kununua Murano inayosumbua
Sawa ya kuijaribu sumu kwa kuilamba[emoji4]
Hizi gari hazina thamani kwa kiwango hichi?Duuh, kwahiyo 2 au 😅😅
Nadhani ukiweka engine yake ukaitunza inakuwa poa zaidi kuliko kubadili aina ya engine.Hivi hizi huwezi kubadili Engine na ikawa poa??
Hii mbona ni nyingiAkikupiga sana 5M