Ushauri: Aliwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango sasa anapata ugumu kushika mimba. Anawezaje kupona tatizo hili? Nitafute mtoto kwingine?

Nenda kaone wataalamu wa uzazi issue itakaa sawa
 
Kuna jirani yangu nae hapati mtoto akiulizwa anasema hormone imbalance ila Kwa yeye sijajua kama alikua anatumia hizo sindano huko nyuma anaweza akakaa hata miezi sita bila kubleed
 
ushauri wa kitabibu nimeuzigtia sana hadi sasa hakuna matokeo,sasa tumegeukia mitishamba napo tuone
Kama alishashika mimba na ikatoka basi uwe na mategemeo kuwa iko siku. Jambo la kwanza ni kutoku-panick. Pia msifanye mapenzi mara kwa mara yaani ile mnakuwa disparate muda wote mna-sex kujaribu. halafu jaribu kubadilisha hospital na dr, msi stick sehemu moja.
 
Apunguze uzito naa yeye nae, anywe mzungwa kutwa mara tatu kwa week moja.
 
Afuate sayansi ya mapishi ya dr mkumbo yupo instagram kuna watu wa shida kama yake wengi wameshika mimba vizuri tu
 
Kwa kawaida mwanamke akiacha kutumia sindano ile nguvu yake inakaa mwilini hadi miezi 18-24(yaani miaka miwili) ko kuwa tu mpole atakaa sawa na pia mzingatie lishe ya huyo mkeo mana kuna mda lishe nayo ni muhimu "we are what we eat"

NB: dada zangu uzazi wampango ni hatari sana kama hujawahi kuzaa kabisa ebu kuweni makini[emoji1374]
 
Ushauri wangu mkeo afanye diet ale health mazoezi japo ya kutembea detox sana itamsaidia sana unene muda mwingine jau kubeba mimba inazingua akipungua atakaa tu sawa sindano haifai kama hujazaa japo watoto wa 2 na uwe una miaka above 30.

Halafu miaka mi3 michache uanze kuhangaika nje upate mtoto kweli wanaume hamna subra inatakiwa usimame na mkeo mpe support
 
Mabinti hawataki condom. Wanasema zinawaumiza

Ukweli mchungu condom ndio njia nyepesi ya kuzuia mimba bila kujiharibu mbeleni
 
Mabinti hawataki condom. Wanasema zinawaumiza

Ukweli mchungu condom ndio njia nyepesi ya kuzuia mimba bila kujiharibu mbeleni
Calendar ni nzuri zaidi hasa kwa binti ambaye kizazi chake ndo kwanzaaaa kibichi hakijashusha na akizoea hivo hata akiolewa zile tarehe za siku zake zinaenda vizuri hatotumia uzazi wa mpango km mumewe ni mwelewa
 
Calender sio rahisi kwa binti mdogo. Binti mdogo ana mayai yenye nguvu sana

Sperm zinakaa mda mrefu kabla ya kufa. Zinakutana na yai hata kama mlifuata kalenda.

Binti chini ya miaka 24 kutumia kalenda ni risk sana
 
Wengine waliwezaje? Calendar haina ugumu wowote labda kama hawezi kukaa akangoja zile siku chache zipite na huwa sio nyingi mimi mara nyingi hufanya siku 9 najihakikishia nimevuka kabisaaaa mbali huko
 
Mkuu mlikuwa hamjui kama uzazi wa mpango anatakiwa atumie Mwanamke aliyekwisha zaa, Mwanamke kama haja zaa hatakiwi kutumia dawa za kuzuia mimba.
Kama akitumia na hajawahi kuzaa madhara yake ni kama hayo ya kuto kubeba mimba, Ushauri ni Kajaribu dawa za kimasai zinaweza kumsaidia.

Sent from my SCV48 using JamiiForums mobile app
 
Muulize vizuri, hata kutoa mimba siku hizi ni uzazi wa mpango. Mtu anakwambia alitumia dawa za uzazi wa mpango na hajazaa, alikuwa anapanga nini sasa. Huyo alikuwa anachomoa mimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…