Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnaanza kufukua makaburi [emoji23][emoji23][emoji23]
Sswali kama hili kaulizwa na Shimba ya Buyunze ila naona hajalijibu, amejibu kitu kingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mnaanza kufukua makaburi [emoji23][emoji23][emoji23]
Nenda kaone wataalamu wa uzazi issue itakaa sawaHabari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa.
Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na binti mrembo ambaye kusema ukweli nilipenda sana na kuvutiwa naye hadi kufanya maamuzi ya kufunga ndoa ya kanisani.
Mwanzoni mwa uchumba binti huyu ambaye ni mke wangu kwa sasa alitumia sindano za kuzuia mimba kwa muda wa miezi sita maana wakati huo alikuwa yupo masomoni chuoni. Nilipogundua nilipiga marufuku asiendelee kuchoma sindano hizo, aliacha na tukaendelea na mahusiano hadi ndoa.
Baada ya kumaliza tu tukafunga ndoa, sasa yapata miaka mitatu mke wangu hashiki mimba ana unene uliopitiliza, anaweza kaa hata miezi mitano hajaingia hedhi, anakiingia inaweza kaa hadi mwezi inatoka na inatoka mabonge mabonge, mwaka jana alishika mimba nayo ilitoka ndani ya mwezi mmoja, hadi sasa bado natafuta mtoto naye ila bado changamoto zake hazijakaa sawa.
Tumejaribu kwenda hospitali mbalimbali kubwa hapa mjini DSM tuaambiwa kuwa ni hormonal imbalance kwa sababau ya matumizi ya sindano za kupanga uzazi hivyo tukapewa dawa COC za miezi mitatu na kuambiwa tuendelea kuvumulia atatengamaa ila mpaka sasa bado.
Mimi wakati wa ujana nilifanikiwa kupata mtoto, ambaye ni kiliwazi, ndio faraja yangu kubwa kwa sasa, ingawa bado nahitaji sana watoto ndani ya ndoa yangu ukizingatia huyu mwanamke tumetoka naye mbali sana na nampenda, ila likija suala la uzao najihisi kukata tamaa na kuwaza kutafuta mwanamke mwengine anitafutie uzao.
Naombeni ushauri nifanyeje na pia msaada ili kuweza tibu tatizo la mke wangu, nitashukuru sana.🙏
Maamuzi ninayotaka kuchukua ni either kumuacha kabisa na kuoa mwanamke mwingine au kuendelea naye huku nikitafuta mtoto kwingine, maana umri unaenda na mimi siwezi kuendelea kuvumilia.
NB: Mabinti kama mnampango wa kujenga familia na kuzaa watoto msitumie madawa ya panga uzazi kilio mnakileta kwenye ndoa.
Kama alishashika mimba na ikatoka basi uwe na mategemeo kuwa iko siku. Jambo la kwanza ni kutoku-panick. Pia msifanye mapenzi mara kwa mara yaani ile mnakuwa disparate muda wote mna-sex kujaribu. halafu jaribu kubadilisha hospital na dr, msi stick sehemu moja.ushauri wa kitabibu nimeuzigtia sana hadi sasa hakuna matokeo,sasa tumegeukia mitishamba napo tuone
Apunguze uzito naa yeye nae, anywe mzungwa kutwa mara tatu kwa week moja.Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa.
Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na binti mrembo ambaye kusema ukweli nilipenda sana na kuvutiwa naye hadi kufanya maamuzi ya kufunga ndoa ya kanisani.
Mwanzoni mwa uchumba binti huyu ambaye ni mke wangu kwa sasa alitumia sindano za kuzuia mimba kwa muda wa miezi sita maana wakati huo alikuwa yupo masomoni chuoni. Nilipogundua nilipiga marufuku asiendelee kuchoma sindano hizo, aliacha na tukaendelea na mahusiano hadi ndoa.
Baada ya kumaliza tu tukafunga ndoa, sasa yapata miaka mitatu mke wangu hashiki mimba ana unene uliopitiliza, anaweza kaa hata miezi mitano hajaingia hedhi, anakiingia inaweza kaa hadi mwezi inatoka na inatoka mabonge mabonge, mwaka jana alishika mimba nayo ilitoka ndani ya mwezi mmoja, hadi sasa bado natafuta mtoto naye ila bado changamoto zake hazijakaa sawa.
Tumejaribu kwenda hospitali mbalimbali kubwa hapa mjini DSM tuaambiwa kuwa ni hormonal imbalance kwa sababau ya matumizi ya sindano za kupanga uzazi hivyo tukapewa dawa COC za miezi mitatu na kuambiwa tuendelea kuvumulia atatengamaa ila mpaka sasa bado.
Mimi wakati wa ujana nilifanikiwa kupata mtoto, ambaye ni kiliwazi, ndio faraja yangu kubwa kwa sasa, ingawa bado nahitaji sana watoto ndani ya ndoa yangu ukizingatia huyu mwanamke tumetoka naye mbali sana na nampenda, ila likija suala la uzao najihisi kukata tamaa na kuwaza kutafuta mwanamke mwengine anitafutie uzao.
Naombeni ushauri nifanyeje na pia msaada ili kuweza tibu tatizo la mke wangu, nitashukuru sana.🙏
Maamuzi ninayotaka kuchukua ni either kumuacha kabisa na kuoa mwanamke mwingine au kuendelea naye huku nikitafuta mtoto kwingine, maana umri unaenda na mimi siwezi kuendelea kuvumilia.
NB: Mabinti kama mnampango wa kujenga familia na kuzaa watoto msitumie madawa ya panga uzazi kilio mnakileta kwenye ndoa.
Ushauri wangu mkeo afanye diet ale health mazoezi japo ya kutembea detox sana itamsaidia sana unene muda mwingine jau kubeba mimba inazingua akipungua atakaa tu sawa sindano haifai kama hujazaa japo watoto wa 2 na uwe una miaka above 30.Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa.
Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na binti mrembo ambaye kusema ukweli nilipenda sana na kuvutiwa naye hadi kufanya maamuzi ya kufunga ndoa ya kanisani.
Mwanzoni mwa uchumba binti huyu ambaye ni mke wangu kwa sasa alitumia sindano za kuzuia mimba kwa muda wa miezi sita maana wakati huo alikuwa yupo masomoni chuoni. Nilipogundua nilipiga marufuku asiendelee kuchoma sindano hizo, aliacha na tukaendelea na mahusiano hadi ndoa.
Baada ya kumaliza tu tukafunga ndoa, sasa yapata miaka mitatu mke wangu hashiki mimba ana unene uliopitiliza, anaweza kaa hata miezi mitano hajaingia hedhi, anakiingia inaweza kaa hadi mwezi inatoka na inatoka mabonge mabonge, mwaka jana alishika mimba nayo ilitoka ndani ya mwezi mmoja, hadi sasa bado natafuta mtoto naye ila bado changamoto zake hazijakaa sawa.
Tumejaribu kwenda hospitali mbalimbali kubwa hapa mjini DSM tuaambiwa kuwa ni hormonal imbalance kwa sababau ya matumizi ya sindano za kupanga uzazi hivyo tukapewa dawa COC za miezi mitatu na kuambiwa tuendelea kuvumulia atatengamaa ila mpaka sasa bado.
Mimi wakati wa ujana nilifanikiwa kupata mtoto, ambaye ni kiliwazi, ndio faraja yangu kubwa kwa sasa, ingawa bado nahitaji sana watoto ndani ya ndoa yangu ukizingatia huyu mwanamke tumetoka naye mbali sana na nampenda, ila likija suala la uzao najihisi kukata tamaa na kuwaza kutafuta mwanamke mwengine anitafutie uzao.
Naombeni ushauri nifanyeje na pia msaada ili kuweza tibu tatizo la mke wangu, nitashukuru sana.🙏
Maamuzi ninayotaka kuchukua ni either kumuacha kabisa na kuoa mwanamke mwingine au kuendelea naye huku nikitafuta mtoto kwingine, maana umri unaenda na mimi siwezi kuendelea kuvumilia.
NB: Mabinti kama mnampango wa kujenga familia na kuzaa watoto msitumie madawa ya panga uzazi kilio mnakileta kwenye ndoa.
Mabinti nao wana haraka siku hizi, mtu hata hujaolewa, hujazaa unatumia uzazi wa mpango! Madhara yake ndo hayo mtu kuolewa mumeo anakuchoka mapema ingawa miaka 3 ya ndoa ni miduchu mnooo.....sema nini mkuu Ntemii mvumilie mkeo atapata tu mtoto japo alijiharibu kizazi chake sjui na hormones zake akiwa hajui madhara yake hayo makitu yanasumbua mtu anaacha kutumia hata miaka 10 lakini mimba holaaa
daah,sasahivi vijana wakitaka kuoa wasijaribu binti aliyetumia hay madawa
Calendar ni nzuri zaidi hasa kwa binti ambaye kizazi chake ndo kwanzaaaa kibichi hakijashusha na akizoea hivo hata akiolewa zile tarehe za siku zake zinaenda vizuri hatotumia uzazi wa mpango km mumewe ni mwelewaMabinti hawataki condom. Wanasema zinawaumiza
Ukweli mchungu condom ndio njia nyepesi ya kuzuia mimba bila kujiharibu mbeleni
Calendar ni nzuri zaidi hasa kwa binti ambaye kizazi chake ndo kwanzaaaa kibichi hakijashusha na akizoea hivo hata akiolewa zile tarehe za siku zake zinaenda vizuri hatotumia uzazi wa mpango km mumewe ni mwelewa
Wengine waliwezaje? Calendar haina ugumu wowote labda kama hawezi kukaa akangoja zile siku chache zipite na huwa sio nyingi mimi mara nyingi hufanya siku 9 najihakikishia nimevuka kabisaaaa mbali hukoCalender sio rahisi kwa binti mdogo. Binti mdogo ana mayai yenye nguvu sana
Sperm zinakaa mda mrefu kabla ya kufa. Zinakutana na yai hata kama mlifuata kalenda.
Binti chini ya miaka 24 kutumia kalenda ni risk sana
Mkuu mlikuwa hamjui kama uzazi wa mpango anatakiwa atumie Mwanamke aliyekwisha zaa, Mwanamke kama haja zaa hatakiwi kutumia dawa za kuzuia mimba.Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa.
Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na binti mrembo ambaye kusema ukweli nilipenda sana na kuvutiwa naye hadi kufanya maamuzi ya kufunga ndoa ya kanisani.
Mwanzoni mwa uchumba binti huyu ambaye ni mke wangu kwa sasa alitumia sindano za kuzuia mimba kwa muda wa miezi sita maana wakati huo alikuwa yupo masomoni chuoni. Nilipogundua nilipiga marufuku asiendelee kuchoma sindano hizo, aliacha na tukaendelea na mahusiano hadi ndoa.
Baada ya kumaliza tu tukafunga ndoa, sasa yapata miaka mitatu mke wangu hashiki mimba ana unene uliopitiliza, anaweza kaa hata miezi mitano hajaingia hedhi, anakiingia inaweza kaa hadi mwezi inatoka na inatoka mabonge mabonge, mwaka jana alishika mimba nayo ilitoka ndani ya mwezi mmoja, hadi sasa bado natafuta mtoto naye ila bado changamoto zake hazijakaa sawa.
Tumejaribu kwenda hospitali mbalimbali kubwa hapa mjini DSM tuaambiwa kuwa ni hormonal imbalance kwa sababau ya matumizi ya sindano za kupanga uzazi hivyo tukapewa dawa COC za miezi mitatu na kuambiwa tuendelea kuvumulia atatengamaa ila mpaka sasa bado.
Mimi wakati wa ujana nilifanikiwa kupata mtoto, ambaye ni kiliwazi, ndio faraja yangu kubwa kwa sasa, ingawa bado nahitaji sana watoto ndani ya ndoa yangu ukizingatia huyu mwanamke tumetoka naye mbali sana na nampenda, ila likija suala la uzao najihisi kukata tamaa na kuwaza kutafuta mwanamke mwengine anitafutie uzao.
Naombeni ushauri nifanyeje na pia msaada ili kuweza tibu tatizo la mke wangu, nitashukuru sana.[emoji120]
Maamuzi ninayotaka kuchukua ni either kumuacha kabisa na kuoa mwanamke mwingine au kuendelea naye huku nikitafuta mtoto kwingine, maana umri unaenda na mimi siwezi kuendelea kuvumilia.
NB: Mabinti kama mnampango wa kujenga familia na kuzaa watoto msitumie madawa ya panga uzazi kilio mnakileta kwenye ndoa.
Nakataaa NABISHA.Swala la kupata mtoto ni majiliwa ya mwenyezi mungu na sio mpango wa mwanadamu.