Ushauri: Aliwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango sasa anapata ugumu kushika mimba. Anawezaje kupona tatizo hili? Nitafute mtoto kwingine?

Jalibu kutumia miziz ya tula tula muda wa mwezi mmoja utakuja kunishukuru
 
Miaka 3 tayari ushawaza kumuacha mtoto wa watu acha ujinga wewe
 
Wengine waliwezaje? Calendar haina ugumu wowote labda kama hawezi kukaa akangoja zile siku chache zipite na huwa sio nyingi mimi mara nyingi hufanya siku 9 najihakikishia nimevuka kabisaaaa mbali huko

Wewe una umri gani ? Quality of eggs za mwanamke zinaendana na age yake
 
Wewe una umri gani ? Quality of eggs za mwanamke zinaendana na age yake
Pamoja na umri nilionao toka nikiwa binti kigori skuwahi fikiria kutumia uzazi wa mpango sababu ya maisha boyfriend n girlfriend na nimekuwa nikitumia calendar hainipi madhara yoyote nashukuru Mungu kanipa afya kizazi hata sjawai pata maumivu wakati wa hedhi, mara sijui nimevusha mwezi, yaani najifungua tar kama ya leo mwezi ukiisha naingia mp tar kama ya leo kama kawaida
 
Swala la kupata mtoto ni majiliwa ya mwenyezi mungu na sio mpango wa mwanadamu.
Hizi ni kauli za kujifariji tu, kama afya ya uzazi ya mwanamke iko vyema sawa na ile ya mwanaume, swala la mimba ni uhakika usiojificha.

Swala la "Majaaliwa" litakuja kwenye kumtoa huyo mtoto tumboni kumleta duniani.
 
Nimekufutatilia tangu uweke comment ya kwanza kwenye uzi huu, yote uliyoyasema ni uhalisia usio na kificho.

Mwanamke yoyote ambaye anajitambua ni ngumu sana kukuta alitumia contraceptives enzi za usichana wake, mara nyingi wanakuwa ni wale ambao waliogopa kudaka mimba za watu wasiowafahamu kwenye michezo yao ya kurukaruka.
 
Hizo dawa hazifai ndio maana ukitaka kuchoma huwa wanashauri walau uwe umeshazaa watoto wawili.

Na huwa hawalazimishi ikiwa mkaidi na unataka kutumia huku huna mtoto ndo hivyo wanakuacha utumie at your own risk.

Mpe pole mkeo japo sikushauri kumuacha inachukuaga muda ila ipo siku atapata tu ujauzito.
 
Hizi ni kauli za kujifariji tu, kama afya ya uzazi ya mwanamke iko vyema sawa na ile ya mwanaume, swala la mimba ni uhakika usiojificha.

Swala la "Majaaliwa" litakuja kwenye kumtoa huyo mtoto tumboni kumleta duniani.
Umeelewa nilichoandika?
Au umesoma ili unijibu?
 
Alichoma miez 6 maana yake alichoma awamu 2 tu, mke wangu juzi ametoka kuchoma awamu ya 5 means miezi 15 na tuna mabinti wawili warembo sana mmoja miaka mi4 na mwingine mwaka 1 na nusu, kwa awamu hizo 2 sidhani kama issue ni sindano unatakiwa kuwa mvumilivu tu miaka mi3 ya ndoa sio kigezo Cha kumuachia mke kisa hazai pia ujipime na ww ujue kama uwezo wa kutungiaha mimba unao,

Kuna dada mmoja aliachwa na mume wake kobaz mmoja konk kisa tu hashiki mimba wakiwa ndoani kwa miaka mi4, mwezi mmoja baada ya kuachwa akawa anajihisi anaumwa umwa ovyo ovyo alipopelekwa hospital ikagundulika ni mjamzito wa mapacha na muhusika ni mume wake waliyeachana naye maana hakuwahi kushiriki mapenz na mtu yyte Toka aachike, bahati mbaya Ile mimba ilikaa miezi mi3 tu ikatoka sasa sijui aliitoa mwenyewe au ikitoka yenyewe tu
 
Kama hayo masindano alichoma mkiwa pamoja na hakuwa malaya sasa unamuacha wa nini? Tena tayari unaye mtoto. Kama umeshindwa kuvumilia bora kupitiwa tena ukapata mtoto mwingine kisha ukatubu kwa mkeo na umpende zaidi.

Dunia ishachafuka hii, utaokota gubegube litakunyoosha upate kisukari na presha urudi kwa mkeo wa zamani kuomba akutunze na hata hao watoto usiwaone kwenye maisha yako.
 
Tuseme tu ukweli mabinti wengi ni Malayer mnoo kwa tamaa za maisha kama ya kina flani, nimepitia ubinti vizuri tu ila nashangaa mimi skuwai kupelekwa na upepo wa matukio😀😀 sjui nisuke kama kina flani noo nakumbuka nikiwa advanced sec pale airwing matron mmoja akaniuliza unahangaika kupaka poda za nini na kuchonga nyusi? Are you not beautiful enough? Nikatafakari ule usemi nikakoma nikaacha hata chuo nlisoma kwa amani sana na twende kilioni zangu huyooo hadi namaliza na natongozwa mbayaa ukiangalia chura ilee hips mateja wanasema mchina huyoo hadi leo kwakweli najieka natural kama msitu🤣🤣🤣 na iko faida ndani yake
 
Njoo pm nikuandikie dawa uende pharmacy ukanunue utan shukuru baadae
 
Wanawake wengi wanaotumia dawa za uzazi wa mpango huwa kuna matatu either anenepe sana, akonde sana ama awe normal inawezekana unene wake umetokana na matumizi ya hizo dawa
 
Apunguze uzito anywe tangawizi asbh na apungize vyakula vya wanga usimpe stress atapata tu mkuu wakati wa Mungu bado unaweza kwenda kuzaa huko ukabambikiwa mtoto ukajuta au ukapata maradhi assume ungekuwa ww ndio mwenye matatizo then anakuacha kisa matatizo yako. Kumbuka tutavumiliana kwa shida na raha hii laana ya kiapo itatembea na ww ukisikia majaribu kwenye ndoa ndio kama hayo.
 
Nitafute wassap0779427472 tuone tunalitatua Vipi tatizo ilo la mkewako hatua kwa hatua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…