Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa nilichoandika?Nakataaa NABISHA.
Mpumzusheni Mungu wa watu.
Ye ndio alisema kuwa mtumie hayo madawa ya uzazi?
#YNWA
Wengine waliwezaje? Calendar haina ugumu wowote labda kama hawezi kukaa akangoja zile siku chache zipite na huwa sio nyingi mimi mara nyingi hufanya siku 9 najihakikishia nimevuka kabisaaaa mbali huko
Pamoja na umri nilionao toka nikiwa binti kigori skuwahi fikiria kutumia uzazi wa mpango sababu ya maisha boyfriend n girlfriend na nimekuwa nikitumia calendar hainipi madhara yoyote nashukuru Mungu kanipa afya kizazi hata sjawai pata maumivu wakati wa hedhi, mara sijui nimevusha mwezi, yaani najifungua tar kama ya leo mwezi ukiisha naingia mp tar kama ya leo kama kawaidaWewe una umri gani ? Quality of eggs za mwanamke zinaendana na age yake
Hizi ni kauli za kujifariji tu, kama afya ya uzazi ya mwanamke iko vyema sawa na ile ya mwanaume, swala la mimba ni uhakika usiojificha.Swala la kupata mtoto ni majiliwa ya mwenyezi mungu na sio mpango wa mwanadamu.
Asante kwa ushauri.Kuna mama yupo instagram pia anaitwa dokta Alice mcheck
Pia anaweza jaribu
Atumie detox ya asili kuondoa sumu mwilini nakupunguza uzito
Nimekufutatilia tangu uweke comment ya kwanza kwenye uzi huu, yote uliyoyasema ni uhalisia usio na kificho.Pamoja na umri nilionao toka nikiwa binti kigori skuwahi fikiria kutumia uzazi wa mpango sababu ya maisha boyfriend n girlfriend na nimekuwa nikitumia calendar hainipi madhara yoyote nashukuru Mungu kanipa afya kizazi hata sjawai pata maumivu wakati wa hedhi, mara sijui nimevusha mwezi, yaani najifungua tar kama ya leo mwezi ukiisha naingia mp tar kama ya leo kama kawaida
Umeelewa nilichoandika?Hizi ni kauli za kujifariji tu, kama afya ya uzazi ya mwanamke iko vyema sawa na ile ya mwanaume, swala la mimba ni uhakika usiojificha.
Swala la "Majaaliwa" litakuja kwenye kumtoa huyo mtoto tumboni kumleta duniani.
Karibu mkuu umekula ubuyu wiki hii 😂😂😂Asante kwa ushauri.
Tuseme tu ukweli mabinti wengi ni Malayer mnoo kwa tamaa za maisha kama ya kina flani, nimepitia ubinti vizuri tu ila nashangaa mimi skuwai kupelekwa na upepo wa matukio😀😀 sjui nisuke kama kina flani noo nakumbuka nikiwa advanced sec pale airwing matron mmoja akaniuliza unahangaika kupaka poda za nini na kuchonga nyusi? Are you not beautiful enough? Nikatafakari ule usemi nikakoma nikaacha hata chuo nlisoma kwa amani sana na twende kilioni zangu huyooo hadi namaliza na natongozwa mbayaa ukiangalia chura ilee hips mateja wanasema mchina huyoo hadi leo kwakweli najieka natural kama msitu🤣🤣🤣 na iko faida ndani yakeNimekufutatilia tangu uweke comment ya kwanza kwenye uzi huu, yote uliyoyasema ni uhalisia usio na kificho.
Mwanamke yoyote ambaye anajitambua ni ngumu sana kukuta alitumia contraceptives enzi za usichana wake, mara nyingi wanakuwa ni wale ambao waliogopa kudaka mimba za watu wasiowafahamu kwenye michezo yao ya kurukaruka.
Njoo pm nikuandikie dawa uende pharmacy ukanunue utan shukuru baadaeHabari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa.
Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na binti mrembo ambaye kusema ukweli nilipenda sana na kuvutiwa naye hadi kufanya maamuzi ya kufunga ndoa ya kanisani.
Mwanzoni mwa uchumba binti huyu ambaye ni mke wangu kwa sasa alitumia sindano za kuzuia mimba kwa muda wa miezi sita maana wakati huo alikuwa yupo masomoni chuoni. Nilipogundua nilipiga marufuku asiendelee kuchoma sindano hizo, aliacha na tukaendelea na mahusiano hadi ndoa.
Baada ya kumaliza tu tukafunga ndoa, sasa yapata miaka mitatu mke wangu hashiki mimba ana unene uliopitiliza, anaweza kaa hata miezi mitano hajaingia hedhi, anakiingia inaweza kaa hadi mwezi inatoka na inatoka mabonge mabonge, mwaka jana alishika mimba nayo ilitoka ndani ya mwezi mmoja, hadi sasa bado natafuta mtoto naye ila bado changamoto zake hazijakaa sawa.
Tumejaribu kwenda hospitali mbalimbali kubwa hapa mjini DSM tuaambiwa kuwa ni hormonal imbalance kwa sababau ya matumizi ya sindano za kupanga uzazi hivyo tukapewa dawa COC za miezi mitatu na kuambiwa tuendelea kuvumulia atatengamaa ila mpaka sasa bado.
Mimi wakati wa ujana nilifanikiwa kupata mtoto, ambaye ni kiliwazi, ndio faraja yangu kubwa kwa sasa, ingawa bado nahitaji sana watoto ndani ya ndoa yangu ukizingatia huyu mwanamke tumetoka naye mbali sana na nampenda, ila likija suala la uzao najihisi kukata tamaa na kuwaza kutafuta mwanamke mwengine anitafutie uzao.
Naombeni ushauri nifanyeje na pia msaada ili kuweza tibu tatizo la mke wangu, nitashukuru sana.🙏
Maamuzi ninayotaka kuchukua ni either kumuacha kabisa na kuoa mwanamke mwingine au kuendelea naye huku nikitafuta mtoto kwingine, maana umri unaenda na mimi siwezi kuendelea kuvumilia.
NB: Mabinti kama mnampango wa kujenga familia na kuzaa watoto msitumie madawa ya panga uzazi kilio mnakileta kwenye ndoa.
Wanawake wengi wanaotumia dawa za uzazi wa mpango huwa kuna matatu either anenepe sana, akonde sana ama awe normal inawezekana unene wake umetokana na matumizi ya hizo dawaBila kupunguza unene hawez tatua tatzo...unene ndio chanzo..na unene uliopitiliza dawa yake ni puto au kufanyiwa gastric sleeve..yaan kukatwa utumbo..huku ulaya ni kawaida sanaaa...
Trust me hata ufanye dua na mitishamba gan.
Asipopunguza kilo kuanzia 20 ni kaz bure.
Na dawa za uzaz wa mpango wala sio chanzo ndugu.
Nitafute wassap0779427472 tuone tunalitatua Vipi tatizo ilo la mkewako hatua kwa hatuaHabari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa.