Ushauri: Aliwahi kutumia dawa za uzazi wa mpango sasa anapata ugumu kushika mimba. Anawezaje kupona tatizo hili? Nitafute mtoto kwingine?

Ni wengi sana sikuhiz nami kunamtu namfahamu yeye hajapata mtoto wingine tangu apate wa pili mwaka 2008 kilichotokea sahiz kashakua mtu mzima akiingia Mp anamwaga damu nyingi kupita kias Kila mwezi amekonda ameisha
Yaani hayo masumu yaniepuke kwakweli sjawahi na sitawahi tumia
 
Relax tena usiwe na mawazo sana hiyo hali inatibika na tatizo linaisha na mimba anashika na anazaa vizuri tu na ndoa yenu inakuwa na furaha tele wala usiwaze sijui kuchepuka dawa zipo tena za hospital nachoamini ujakutana na mtalamu wa magonjwa ya kina mama ukimpata ndani ya mwezi mmoja mwezi wa pili anashika mimba nikuulize tu maswahi

Vipi vipimo vya ugonjwa wa PID umecheck je hana PID maana matumizi ya uzazi wa mpango huwa unatabia ya kuleta PID na hiyo PID huwa mwanamke akiwa na PID kushika mimba ni story na changamoto ulizozitaja huwa ni moja wapo so check hiyo kama hana PID tafuta dokta bigwa wa kina mama achana na hizo clinic za matangazo na madocctor wenye mbwebwe nenda hospital kubwa ya serikali inayohudumia walalahoi ulizia daktari wa magonjwa ya kina mama utakuja nishukuru hapa maana hao madaktari wa hospital za umma wanahudumia watu wengi wenye changamoto nyingi so uzoefu wa magonjwa na tiba wanazijua narudia tena

Achana na clinic za matangazo madaktari wa magonjwa ya kina mama wa matangazo nenda hospital ya umma inayohudumia wanainchi wengi wa kipato cha chini ulizia dokta wa magonjwa ya kina mama uliza hata maboda boda getini eti hivi hapa hospital dokta yupi anasifika kutibu wa mama masuala ya mimba nk utambiwa jina mtafute muelezee shida yako atakusaidia

DAWA ZIPO
Atapewa vidonge vya kubalance mzunguko wake mzunguko ukikaa sawa atapewa vidonge pale akiona tu blind ameze blind ikikata mzee unapandisha mzigo mimba inashika tena kwa gharama ndogo hata laki mbili haifiki

Nakwambia hivi na expirence ya unachopitia so nakutoa hofu kabis mkeo tiba ipo
 
Ifike mahali utumie utu kwanza kabla ya hisia. Unajua kiukwel kabisa furaha ya ndoa ni nyie wawili watoto ni baraka za ziada tu na wala sio sheria na ndio maana kuna watu ughaibuni wanaoana lkn wanakubaliana kabsa hatutapata watoto na wanaishi vzr kabisa na kwa amani.
Ushauri wangu;- pamoja na kuwa kukosa mtt kunaumiza lkn usiache kumpenda mkeo na usije subutu kumuacha, mpende hivyo alivyo kuna siku atakupamtoto tu. Unaweza lazimisha kupata mtoto nje na kweli ukapata mtoto lkn mwisho wa siku huyo mtt akakua kabla ya siku zako ili arithi mali zako..
 
Relax tena usiwe na mawazo sana hiyo hali inatibika na tatizo linaisha na mimba anashika na anazaa vizuri tu na ndoa yenu inakuwa na furaha tele wala usiwaze sijui kuchepuka dawa zipo tena za hospital nachoamini ujakutana na mtalamu wa magonjwa ya kina mama ukimpata ndani ya mwezi mmoja mwezi wa pili anashika mimba nikuulize tu maswahi

Vipi vipimo vya ugonjwa wa PID umecheck je hana PID maana matumizi ya uzazi wa mpango huwa unatabia ya kuleta PID na hiyo PID huwa mwanamke akiwa na PID kushika mimba ni story na changamoto ulizozitaja huwa ni moja wapo so check hiyo kama hana PID tafuta dokta bigwa wa kina mama achana na hizo clinic za matangazo na madocctor wenye mbwebwe nenda hospital kubwa ya serikali inayohudumia walalahoi ulizia daktari wa magonjwa ya kina mama utakuja nishukuru hapa maana hao madaktari wa hospital za umma wanahudumia watu wengi wenye changamoto nyingi so uzoefu wa magonjwa na tiba wanazijua narudia tena

Achana na clinic za matangazo madaktari wa magonjwa ya kina mama wa matangazo nenda hospital ya umma inayohudumia wanainchi wengi wa kipato cha chini ulizia dokta wa magonjwa ya kina mama uliza hata maboda boda getini eti hivi hapa hospital dokta yupi anasifika kutibu wa mama masuala ya mimba nk utambiwa jina mtafute muelezee shida yako atakusaidia

DAWA ZIPO
Atapewa vidonge vya kubalance mzunguko wake mzunguko ukikaa sawa atapewa vidonge pale akiona tu blind ameze blind ikikata mzee unapandisha mzigo mimba inashika tena kwa gharama ndogo hata laki mbili haifiki

Nakwambia hivi na expirence ya unachopitia so nakutoa hofu kabis mkeo tiba ipo
Hiv ni dawa zipi zakubalance homoni nami inanisumbua hosp napewa vidonge vya uzazi wa mpango
Carlos The Jackal njoo mkuu
 
Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa.

Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na binti mrembo ambaye kusema ukweli nilipenda sana na kuvutiwa naye hadi kufanya maamuzi ya kufunga ndoa ya kanisani.

Mwanzoni mwa uchumba binti huyu ambaye ni mke wangu kwa sasa alitumia sindano za kuzuia mimba kwa muda wa miezi sita maana wakati huo alikuwa yupo masomoni chuoni. Nilipogundua nilipiga marufuku asiendelee kuchoma sindano hizo, aliacha na tukaendelea na mahusiano hadi ndoa.

Baada ya kumaliza tu tukafunga ndoa, sasa yapata miaka mitatu mke wangu hashiki mimba ana unene uliopitiliza, anaweza kaa hata miezi mitano hajaingia hedhi, anakiingia inaweza kaa hadi mwezi inatoka na inatoka mabonge mabonge, mwaka jana alishika mimba nayo ilitoka ndani ya mwezi mmoja, hadi sasa bado natafuta mtoto naye ila bado changamoto zake hazijakaa sawa.

Tumejaribu kwenda hospitali mbalimbali kubwa hapa mjini DSM tuaambiwa kuwa ni hormonal imbalance kwa sababau ya matumizi ya sindano za kupanga uzazi hivyo tukapewa dawa COC za miezi mitatu na kuambiwa tuendelea kuvumulia atatengamaa ila mpaka sasa bado.

Mimi wakati wa ujana nilifanikiwa kupata mtoto, ambaye ni kiliwazi, ndio faraja yangu kubwa kwa sasa, ingawa bado nahitaji sana watoto ndani ya ndoa yangu ukizingatia huyu mwanamke tumetoka naye mbali sana na nampenda, ila likija suala la uzao najihisi kukata tamaa na kuwaza kutafuta mwanamke mwengine anitafutie uzao.

Naombeni ushauri nifanyeje na pia msaada ili kuweza tibu tatizo la mke wangu, nitashukuru sana.[emoji120]

Maamuzi ninayotaka kuchukua ni either kumuacha kabisa na kuoa mwanamke mwingine au kuendelea naye huku nikitafuta mtoto kwingine, maana umri unaenda na mimi siwezi kuendelea kuvumilia.

NB: Mabinti kama mnampango wa kujenga familia na kuzaa watoto msitumie madawa ya panga uzazi kilio mnakileta kwenye ndoa.
Unasema umetoka naye mbali.

Ina maana wakati anatumia sindano za kupanga uzazi, mlikuwa wote pamoja? na hilo lilimfanya asipate mimba kipindi uko naye na akiwa hataki apate mimba?

Kama wakati anatumia hizo Sindano hukuwa naye karibu, ina maana alikuwa na mtu mwingine ambapo aliamua kutumia hiyo njia ili asipate mimba?
 
Hiv ni dawa zipi zakubalance homoni nami inanisumbua hosp napewa vidonge vya uzazi wa mpango
Carlos The Jackal njoo mku
20240220_170940.jpg
 
Unasema umetoka naye mbali.

Ina maana wakati anatumia sindano za kupanga uzazi, mlikuwa wote pamoja? na hilo lilimfanya asipate mimba kipindi uko naye na akiwa hataki apate mimba?

Kama wakati anatumia hizo Sindano hukuwa naye karibu, ina maana alikuwa na mtu mwingine ambapo aliamua kutumia hiyo njia ili asipate mimba?
Mnaanza kufukua makaburi 😂😂😂
 
Ulivo sema mabonge bonge ya damu umenikera nipo nakula hapq
 
Habari wana MMU, natumai muwazima ndani ya jukwaa letu pendwa.

Mimi ni kijana wa makamo niliye ndani ya ndoa sasa yapata mwaka wa tatu, na tatizo linalonikabili ndani ya ndoa yangu, nilikutana na binti mrembo ambaye kusema ukweli nilipenda sana na kuvutiwa naye hadi kufanya maamuzi ya kufunga ndoa ya kanisani.

Mwanzoni mwa uchumba binti huyu ambaye ni mke wangu kwa sasa alitumia sindano za kuzuia mimba kwa muda wa miezi sita maana wakati huo alikuwa yupo masomoni chuoni. Nilipogundua nilipiga marufuku asiendelee kuchoma sindano hizo, aliacha na tukaendelea na mahusiano hadi ndoa.

Baada ya kumaliza tu tukafunga ndoa, sasa yapata miaka mitatu mke wangu hashiki mimba ana unene uliopitiliza, anaweza kaa hata miezi mitano hajaingia hedhi, anakiingia inaweza kaa hadi mwezi inatoka na inatoka mabonge mabonge, mwaka jana alishika mimba nayo ilitoka ndani ya mwezi mmoja, hadi sasa bado natafuta mtoto naye ila bado changamoto zake hazijakaa sawa.

Tumejaribu kwenda hospitali mbalimbali kubwa hapa mjini DSM tuaambiwa kuwa ni hormonal imbalance kwa sababau ya matumizi ya sindano za kupanga uzazi hivyo tukapewa dawa COC za miezi mitatu na kuambiwa tuendelea kuvumulia atatengamaa ila mpaka sasa bado.

Mimi wakati wa ujana nilifanikiwa kupata mtoto, ambaye ni kiliwazi, ndio faraja yangu kubwa kwa sasa, ingawa bado nahitaji sana watoto ndani ya ndoa yangu ukizingatia huyu mwanamke tumetoka naye mbali sana na nampenda, ila likija suala la uzao najihisi kukata tamaa na kuwaza kutafuta mwanamke mwengine anitafutie uzao.

Naombeni ushauri nifanyeje na pia msaada ili kuweza tibu tatizo la mke wangu, nitashukuru sana.🙏

Maamuzi ninayotaka kuchukua ni either kumuacha kabisa na kuoa mwanamke mwingine au kuendelea naye huku nikitafuta mtoto kwingine, maana umri unaenda na mimi siwezi kuendelea kuvumilia.

NB: Mabinti kama mnampango wa kujenga familia na kuzaa watoto msitumie madawa ya panga uzazi kilio mnakileta kwenye ndoa.
0757882725 mcheck huyo jamaa mweleze issue yote
 
Mkuu pole sana kwa hilo tatizo. Ila hizi njia za uzazi wa mpango sizo kabisa kuna watu kadhaa nimesikia wakizilalamikia. Mmoja huyu katoka kuongelea jana tu.
IMG_7903.jpg
 
Back
Top Bottom