Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Wa mtaani ndo balaa.... Sababu unajua kabisa fulani tunachangia alolo.... Mkipishana naye karoho kanataka kutoka[emoji23][emoji23][emoji23]
πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa wa humu si mtapishana pia kwa threads? Na comments za vijembe zitakuhusu 🀣🀣
 
Bora, humu unaweza kubadili hata username.

Mtaani huwezi badilisha kitu, tena ukute mshajenga? Alafu unasikia mama fulani anapita na mumeo, hiyo torture ni [emoji91]
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ najaribu kupata picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…