Umetufokea kwa sautiMbona kimya??!! Jamani Kumbe na picha zake unazo? Mbona balaaa hili...humu jf kuna wanawake kibao tunajiuza kimya kimya pm tunatuma picha zetu Video clips za nyuchi zetu kwa wanaume pm... ilhali tunajua hao wanaume wana watu/ wapenzi wao ...tunaomba kumeet na wanaume wa wengine kibao tumejaa humu!!! Unameet nae kutafuta nini kama si kuwashwa??? Kwa staili hii What do you expect my dear?!!!!!!!!!!!!!!!!
Umetufokea kwa sautiMbona kimya??!! Jamani Kumbe na picha zake unazo? Mbona balaaa hili...humu jf kuna wanawake kibao tunajiuza kimya kimya pm tunatuma picha zetu Video clips za nyuchi zetu kwa wanaume pm... ilhali tunajua hao wanaume wana watu/ wapenzi wao ...tunaomba kumeet na wanaume wa wengine kibao tumejaa humu!!! Unameet nae kutafuta nini kama si kuwashwa??? Kwa staili hii What do you expect my dear?!!!!!!!!!!!!!!!!
Dogo? π€Basi niombee msamaha..sikujua km ningeeleweka vibaya. Ukwelinasema I'm sorry bn Kwa comment yangu hapo juu sikujua ningeeleweka vby
Uwafanye kitu kwa kosa gani walilokukosea? Kama kutembea na shemeji si na wao wametongozwa kama wewe?Kutokana na pm yangu kufurika kwa onyo na ushauri kemkem nimewaelewa sitoweka id zao hapa wala picha l[emoji849][emoji849] ila mdogo wangu prisca na mary(kwamajina yenu halisi)mkiendelea mnachokifanya ntawafanya kitu hamtasahau na hivi bado wadogo hata vizazi vyenu vibichi msijishaue kupanda milima msiyoiweza mkashindwa kumaliza chuo bure na hivi kwenu hapa kimara tu[emoji41][emoji41]
She is so desperateSasa unawapiga beat kwani si wamefuatwa kama wewe ulivyofuatwa? Tena kwa ID nyingine
Deal na mchumba ako, hana staha.
Hapa ndiyo tunapokosea wanawake, tunapoacha kudeal na mkosaji.
Yani kahamishia ubaya kwa wanawake badala adili na bwana ake kiboo dinda.Wanawake tunajuaga kutia huruma. Umalaya wa bwana ake anaufumbia macho, yupo busy na waliotongozwa kama yeye, tena mtu hata hajakuoa. Asijisahau, anaweza kuishia kuwa baby mama, na hao kina Mary ndiyo wakaolewa.
Yani mimi ningekua Mary ningeanza kuonyesha mapenzi yetu na bwana JF live live sasa tuone atanifanya niniHajui kama anampa kichwa huyo mwanaume wake.
Yaani nilikua namuonea huruma huko juu, nilipokuja kusoma hiyo comment yake akanichosha.
Wakina Mary popote walipo wakaze wasimuache huyo mwanaume maana bidada hajielewi.
Si mpaka bwana JF akubali kuwekwa public?Yani mimi ningekua Mary ningeanza kuonyesha mapenzi yetu na bwana JF live live sasa tuone atanifanya nini
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Tatizo lake sio mwanaume ni wanawake. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]TajΓ‘ mwanaume au unamuogopa
Kuliwa kizembe ndo kukoje huko?hivi wadada wa jf ni wazembe kiasi hicho kuliwa kizembe ? hapana najisemea
Sikufeli kukuweka kitengo cha ujasusiKwani ukisema ni wewe kuna ubaya gani?
Weka wazi ili baraza la wazee wa jf tukae kikao cha dharura kumuweka sawa huyo jamaa yetu.
Jf ni reputable platform anatakikana aendane nayo, kama mmekutana humu jf msituangushe bwana.
View attachment 1998461
Mbona jana tumemuona live ππSi mpaka bwana JF akubali kuwekwa public?
Naona me na wewe ndio tumebaki zunazurula kwa comments tu.
Nimemuona hurumaHahahaha ulivyoandika hiyo lol dah
Hiyo si bahati mbaya ikichagizwa na hasira za shost.Mbona jana tumemuona live ππ
Sijafunga hata sielewi jamani kwanini iko hivyo. Ngoja nakupm now nowUmefunga PM shost[emoji849]
Na mimi nakupm naona inanigomeaEeeh nakazana kufungua naona kufuli[emoji16]
Yani imebidi nisome comments zote.Si mpaka bwana JF akubali kuwekwa public?
Naona me na wewe ndio tumebaki zunazurula kwa comments tu.
Yani kahamishia ubaya kwa wanawake badala adili na bwana ake kiboo dinda.
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Hii tabia ya kudhani tunaweza kuwamiliki watu inabidi tuache wanawake. Maana utajikuta unagombana na kila kituYaleyale ya Zamaradi kugombana na michepuko ya Ruge, au Zari na michepuko ya Dai; mbona walisurrender wenyewe. Afu wewe mwenyewe sio hata mke, ni baby momma tu ila unawaona wenzio michepuko teh