Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Mbona kimya??!! Jamani Kumbe na picha zake unazo? Mbona balaaa hili...humu jf kuna wanawake kibao tunajiuza kimya kimya pm tunatuma picha zetu Video clips za nyuchi zetu kwa wanaume pm... ilhali tunajua hao wanaume wana watu/ wapenzi wao ...tunaomba kumeet na wanaume wa wengine kibao tumejaa humu!!! Unameet nae kutafuta nini kama si kuwashwa??? Kwa staili hii What do you expect my dear?!!!!!!!!!!!!!!!!
Umetufokea kwa sauti

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Kutokana na pm yangu kufurika kwa onyo na ushauri kemkem nimewaelewa sitoweka id zao hapa wala picha l[emoji849][emoji849] ila mdogo wangu prisca na mary(kwamajina yenu halisi)mkiendelea mnachokifanya ntawafanya kitu hamtasahau na hivi bado wadogo hata vizazi vyenu vibichi msijishaue kupanda milima msiyoiweza mkashindwa kumaliza chuo bure na hivi kwenu hapa kimara tu[emoji41][emoji41]
Uwafanye kitu kwa kosa gani walilokukosea? Kama kutembea na shemeji si na wao wametongozwa kama wewe?

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Wanawake tunajuaga kutia huruma. Umalaya wa bwana ake anaufumbia macho, yupo busy na waliotongozwa kama yeye, tena mtu hata hajakuoa. Asijisahau, anaweza kuishia kuwa baby mama, na hao kina Mary ndiyo wakaolewa.
Yani kahamishia ubaya kwa wanawake badala adili na bwana ake kiboo dinda.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Hajui kama anampa kichwa huyo mwanaume wake.

Yaani nilikua namuonea huruma huko juu, nilipokuja kusoma hiyo comment yake akanichosha.

Wakina Mary popote walipo wakaze wasimuache huyo mwanaume maana bidada hajielewi.
Yani mimi ningekua Mary ningeanza kuonyesha mapenzi yetu na bwana JF live live sasa tuone atanifanya nini

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Yaleyale ya Zamaradi kugombana na michepuko ya Ruge, au Zari na michepuko ya Dai; mbona walisurrender wenyewe. Afu wewe mwenyewe sio hata mke, ni baby momma tu ila unawaona wenzio michepuko teh
Yani kahamishia ubaya kwa wanawake badala adili na bwana ake kiboo dinda.

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Yaleyale ya Zamaradi kugombana na michepuko ya Ruge, au Zari na michepuko ya Dai; mbona walisurrender wenyewe. Afu wewe mwenyewe sio hata mke, ni baby momma tu ila unawaona wenzio michepuko teh
Hii tabia ya kudhani tunaweza kuwamiliki watu inabidi tuache wanawake. Maana utajikuta unagombana na kila kitu

Back
Top Bottom