Ushauri: Amegundua mpenziwe ana akaunti nyingine JF zaidi ya ile anayoijua

Wanalambika sana ...ila nilishajaribu mkuu mara kadhaa ila sijawahi pata pisi ya maana nikaamua kukata tamaa kabisa...nyingine niliamua kuzikimbia kabla hatujakutana live...zimekaa hovyo sana au nilikuwa na bahati mbaya sijui
Unazipataje hizo mkuu mbona wengine bado.
Si wengine tupo tayari hata kutoa pesa kwa mbususu za jf
 
Ni pm kuna jambo ninataka tuongee pesa ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…