Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 566
- 1,583
Wakuu Salaam!!!!!
Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina mashaka sana
Kuna muda niliambiwa kuwa yuko kwenye mahusiano na jamaa yangu na wakati bado ana ujauzito ikanibidi nimpige chini na ata kuhudumia ujauzito nikaacha kabisa
Baadae tukarudiana ila kwa masharti ya kutokufanya tena mapenzi akakubali,wiki Jana akawa amepost picha WhatsApp kuwa amejifungua mapacha na akanitumia picha zao kabisa
Nilivyo waangalia nikaona kabisa wanafanana na watu wa nyumbani kwetu kwa kiasi kikubwa sana
Ila sasa jambo baya na la kushangaza hataki niende kwao nikawaone watoto kwa kisingizio kwamba Baba yake ana hasira na mimi na hataki ata kuniona………Kutoka ninapoishi hadi kwao sio mbali sana coz tunaishi hapa hapa Dar ila tu hataki nipajue anapokaa
Juzi nilivyo-force sana kuwa nataka niwaone hao mapacha ata niwape majina ya nyumban kwetu akasema eti Baba yake ameshawapa majina kwa sababu eti wakat akiwa mjamzito nilikuwa siihudumii sasa itakuwaje niwape majina!!! Imeniuma sana hili jamani
Sasa naombeni ushauri nitumie njia gani ili niweze kuwapa majina hao watoto au kuwatazama tu ili roho yangu isuuzike!??
Msaada Tafadhali