Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio sababu Single Mama mnaongezeka kila siku.Story za kijiwen zikufanye usitishe huduma eeh? Hata mim ningefanya Ivo hutowaona hutowagusa Bora huyo amekutumia picha mie hata picha hupat
Kwan walivopeana mimba walikua na ndoa? Si kasema walipeana kwenye moja mbili zao?Ndio sababu Single Mama mnaongezeka kila siku.
Angekuwa serious nae angeshamuoa.Ndio sababu Single Mama mnaongezeka kila siku.
Bro umeongea points sana kiukweli nashukuru sana kwa ushauri huu bingwa sanaKaka yangu, kwanza pole sana kwa hali unayopitia. Najua inavyoweza kuwa ngumu, hasa kama unaamini kabisa kwamba hao watoto ni wako na unataka kuwajua na kuwapa majina.
Kwanza, ni muhimu utulize akili na usichukue maamuzi kwa hasira au maumivu. Kama kweli unataka kujua ukweli kuhusu watoto hao, basi njia bora ni kupendekeza kufanya DNA test ili kuthibitisha kama kweli ni wako. Hii itakusaidia kuwa na uhakika kabisa badala ya kuhisi tu kutokana na kufanana.
Kuhusu kutotaka kukuonyesha watoto au kukupa nafasi ya kuwajua, inawezekana kuna mambo yanayomfanya asione hilo kama jambo sahihi kwa sasa—labda hasira, maumivu, au hata ushawishi wa familia yake. Hata hivyo, kama wewe ni baba wa watoto hao, una haki ya kuwajua na kuwa sehemu ya maisha yao.
Njia bora ni kutafuta mjomba, shangazi, au mtu wa kati kutoka upande wake ambaye unaweza kuzungumza naye ili kusaidia kusuluhisha hili bila ugomvi. Kama hakuna mwafaka, unaweza pia kutumia njia za kisheria kama unajua anapoishi, ili kudai haki yako kama mzazi.
Pia, hakikisha unafikiria kwa mapana—je, uko tayari kuchukua majukumu ya kuwa baba kwao? Kama jibu ni ndiyo, basi fanya kila linalowezekana kwa njia ya busara na hekima ili kuhakikisha unakuwa sehemu ya maisha yao.
Mwishowe, usikubali hasira au maumivu ya zamani yakuzuie kufanya kilicho sahihi. Kama kweli unajali watoto hao, tafuta njia za kuwajua, lakini kwa amani na busara. Nakutakia kila la heri kat
ika hili.
Hao watoto siyo wako mkuu... Kipindi ana mimba alikuwa anat**bwa na jamaa mwingine, Alafu kiurahisi rahisi tu useme watoto ni wako..????Wakuu Salaam!!!!!
Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina mashaka sana
Kuna muda niliambiwa kuwa analiwa na jamaa yangu na wakati bado ana ujauzito ikanibidi nimpige chini na ata kuhudumia ujauzito nikaacha kabisa
Baadae tukarudiana ila kwa masharti ya kutokufanya tena mapenzi akakubali,wiki Jana akawa amepost picha WhatsApp kuwa amejifungua mapacha na akanitumia picha zao kabisa
Nilivyo waangalia nikaona kabisa wanafanana na watu wa nyumbani kwetu kwa kiasi kikubwa sana
Ila sasa jambo baya na la kushangaza hataki niende kwao nikawaone watoto kwa kisingizio kwamba Baba yake ana hasira na mimi na hataki ata kuniona………Kutoka ninapoishi hadi kwao sio mbali sana coz tunaishi hapa hapa Dar ila tu hataki nipajue anapokaa
Juzi nilivyo-force sana kuwa nataka niwaone hao mapacha ata niwape majina ya nyumban kwetu akasema eti Baba yake ameshawapa majina kwa sababu eti wakat akiwa mjamzito nilikuwa siihudumii sasa itakuwaje niwape majina!!! Imeniuma sana hili jamani
Sasa naombeni ushauri nitumie njia gani ili niweze kuwapa majina hao watoto au kuwatazama tu ili roho yangu isuuzike!??
Msaada Tafadhali
Amekudanganya huyo na anajua anachotaka kukifanyia ila wewe umepagawa kisa umesikia mapachaWakuu Salaam!!!!!
Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina mashaka sana
Kuna muda niliambiwa kuwa yuko kwenye mahusiano na jamaa yangu na wakati bado ana ujauzito ikanibidi nimpige chini na ata kuhudumia ujauzito nikaacha kabisa
Baadae tukarudiana ila kwa masharti ya kutokufanya tena mapenzi akakubali,wiki Jana akawa amepost picha WhatsApp kuwa amejifungua mapacha na akanitumia picha zao kabisa
Nilivyo waangalia nikaona kabisa wanafanana na watu wa nyumbani kwetu kwa kiasi kikubwa sana
Ila sasa jambo baya na la kushangaza hataki niende kwao nikawaone watoto kwa kisingizio kwamba Baba yake ana hasira na mimi na hataki ata kuniona………Kutoka ninapoishi hadi kwao sio mbali sana coz tunaishi hapa hapa Dar ila tu hataki nipajue anapokaa
Juzi nilivyo-force sana kuwa nataka niwaone hao mapacha ata niwape majina ya nyumban kwetu akasema eti Baba yake ameshawapa majina kwa sababu eti wakat akiwa mjamzito nilikuwa siihudumii sasa itakuwaje niwape majina!!! Imeniuma sana hili jamani
Sasa naombeni ushauri nitumie njia gani ili niweze kuwapa majina hao watoto au kuwatazama tu ili roho yangu isuuzike!??
Msaada Tafadhali
Kwanini alituma picha kwa mwanamme asitemtambuwa kuwa baba watoto wake?, tena hawala yake wa zamani?Ww jamaa,,,, unatia hasira ? Mbona unakuwa bwege ? Una uhakika hao watoto ni wako ? Eti kajifungua wiki iliyopita, watoto wanafanana na watu wa kwenu,,,, huyo mjanja,,,watoto sio wako, na kuna njemba inampa huduma kutoka ujauzito mpaka leba na hatimae uzazi! Kaa mbali nae kabisa,,,,, !