Ushauri: Amejifungua lakini hataki niwaone watoto wangu. Nimshtaki?

Mkuu tulia watoto kama wako watakuja miaka hata 15 mbele kausha endelea kupiga pombou sehem nyingine

Huenda watoto si wako kabisa hao ogopa kiumbe mwanamke
 
Anakwambia hivo maana wana baba mwingine ambaye tayari nyumbani kwao anatambulika,hivo na wewe kwenda na kujitambukisha kama baba watoto haina afya kwa upande wake.
Mwenye watoto ni yule aliye mpeleka kilinc .
Tafuta mke uoe kama unataka watoto
 
Wakuu Salaam!!!!!

Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina mashaka sana

Kuna muda niliambiwa kuwa yuko kwenye mahusiano na jamaa yangu na wakati bado ana ujauzito ikanibidi nimpige chini na ata kuhudumia ujauzito nikaacha kabisa

Baadae tukarudiana ila kwa masharti ya kutokufanya tena mapenzi akakubali,wiki Jana akawa amepost picha WhatsApp kuwa amejifungua mapacha na akanitumia picha zao kabisa

Nilivyo waangalia nikaona kabisa wanafanana na watu wa nyumbani kwetu kwa kiasi kikubwa sana

Ila sasa jambo baya na la kushangaza hataki niende kwao nikawaone watoto kwa kisingizio kwamba Baba yake ana hasira na mimi na hataki ata kuniona………Kutoka ninapoishi hadi kwao sio mbali sana coz tunaishi hapa hapa Dar ila tu hataki nipajue anapokaa

Juzi nilivyo-force sana kuwa nataka niwaone hao mapacha ata niwape majina ya nyumban kwetu akasema eti Baba yake ameshawapa majina kwa sababu eti wakat akiwa mjamzito nilikuwa siihudumii sasa itakuwaje niwape majina!!! Imeniuma sana hili jamani

Sasa naombeni ushauri nitumie njia gani ili niweze kuwapa majina hao watoto au kuwatazama tu ili roho yangu isuuzike!??

Msaada Tafadhali
Wewe kumwaga uliona rahaa kutunza ukaona shida haya wanao washapewa baba mwingine
 
Ungekuwa karibu yangu ningekuzagamua màkofi ya matako, uneambiwa mimba siyo yako iweje watoto wawe wako?
Pia Kuna jamaa anatembea na huyo mwanamke wakati ana mimba. Eti watoto wanafanana ba watu wa kwenu!.
Wewe taahira mkuu.
 
Yupo sahihi kabisa kama hujahudumia kwa mila za makabila mengi sana ya kibongo, hata ukishtaki utaangukia pua tu, kawakomboe kwa kulipa faini then utakuwa huru
 
Hivi watu wanatambuaje watoto wadogo wa siku moja hadi wiki kama anafanana na flani maana watoto huwa wanabadilika sana aisee! Angalau labda hata miezi mi3 hv
 
Wakuu Salaam!!!!!

Nilikuwa nipo kwenye mahusiano na binti mmoja hivi,tuli-date na mwisho wa siku akawa amenasa ujauzito na akaniambia kuwa Mimi ndio Muhusika,basi nikakubali japo nilikuwa nina mashaka sana

Kuna muda niliambiwa kuwa yuko kwenye mahusiano na jamaa yangu na wakati bado ana ujauzito ikanibidi nimpige chini na ata kuhudumia ujauzito nikaacha kabisa

Baadae tukarudiana ila kwa masharti ya kutokufanya tena mapenzi akakubali,wiki Jana akawa amepost picha WhatsApp kuwa amejifungua mapacha na akanitumia picha zao kabisa

Nilivyo waangalia nikaona kabisa wanafanana na watu wa nyumbani kwetu kwa kiasi kikubwa sana

Ila sasa jambo baya na la kushangaza hataki niende kwao nikawaone watoto kwa kisingizio kwamba Baba yake ana hasira na mimi na hataki ata kuniona………Kutoka ninapoishi hadi kwao sio mbali sana coz tunaishi hapa hapa Dar ila tu hataki nipajue anapokaa

Juzi nilivyo-force sana kuwa nataka niwaone hao mapacha ata niwape majina ya nyumban kwetu akasema eti Baba yake ameshawapa majina kwa sababu eti wakat akiwa mjamzito nilikuwa siihudumii sasa itakuwaje niwape majina!!! Imeniuma sana hili jamani

Sasa naombeni ushauri nitumie njia gani ili niweze kuwapa majina hao watoto au kuwatazama tu ili roho yangu isuuzike!??

Msaada Tafadhali
Watoto siyo wako, achana naye huyo, watoto wachanga tena kwa kuwaona kwenye picha kufanya jumuisho kuwa wanafanana na watu wa kwenu siyo sahihi. Kama anakuzuia usiwaone yeye anayo siri kubwa hataki kukuumiza mpotezee, mbona pisi zipo nyingi tu tena za kumwaga.
 
  1. Wanawake tuanajivunia sana huyo binti anayekunyoosha.
  2. Kwani, huna wazazi au watu wazima huko kwenu? maana kila kabila lina mila zao za kufuata. Huwezi kwenda kiholela holela tu kuona watoto uliozalisha nyumbani kwa babu yao na kwa mimba ambayo hujaihudumia, wakupige faini hata ng’ombe 4 ukae sawa.
  3. Wewe ni wale wanaume wa hovyo, si ulisikiliza maneno ya vijiweni, ukaacha kuhudumia ujauzito, sasa nenda kawasikilize tena wakuambie imekuwaje watoto wakafanana na wewe na sio hiyo uliyeambiwa mimba ni yake.
giphy-downsized.gif
 
Back
Top Bottom