Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 5,962
- 17,648
D_nneFamasia wanachukua hadi four ya 29?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
D_nneFamasia wanachukua hadi four ya 29?
Nafikiri tufikirie kufanyika kazi ushauri wa mtunga sera fulani,kuwa boda au mafunzo ya wizi ili kutengeneza ajira iwe sehemu rasmi ya sera na mafunzo ili kuendana na ushindani wa kileo,watu wanavuna hela kwa ajili ya mataifa yao kidigitali.Ni mawazo tu jamani sijakuwa na nia mbaya kwa mleta mada wala yeyote.Naomba nieleweke kwa mtazamo huo tu na sii vinginevyo.Wakuu habarini.
Nina mdogo wangu kamaliza form four mwaka jana, amepata div four 29
Naombeni ushauri anaweza kwenda vyuo vya kati vinavyotoa certificate?
Au ni chuo gani kitaendana na ufaulu wake
Ana Hist D, kiswah D, Bio D, Chem D, Geo D, Phy F, Engl F, Math F
Jinsia ni wakike
Ahsanteni
Kwa umri wake anaweza akawa anaona kama kusoma ndio option pekee iliyopo hasa kwasababu anaona wenzie wote nao wanasoma. Ila nyie mnaweza kumsaidia kumuonyesha kuwa kuna option zingine nzuri tuuUpo sahihi, ila malengo yake bado hajachoka anataka aendelee kusoma
Kwamba akawe mwizi wa mtandaoni kama hushpapy?Nafikiri tufikirie kufanyika kazi ushauri wa mtunga sera fulani,kuwa boda au mafunzo ya wizi ili kutengeneza ajira iwe sehemu rasmi ya sera na mafunzo ili kuendana na ushindani wa kileo,watu wanavuna hela kwa ajili ya mataifa yao kidigitali.Ni mawazo tu jamani sijakuwa na nia mbaya kwa mleta mada wala yeyote.Naomba nieleweke kwa mtazamo huo tu na sii vinginevyo.
Mkuu ni sahihiKwa umri wake anaweza akawa anaona kama kusoma ndio option pekee iliyopo hasa kwasababu anaona wenzie wote nao wanasoma. Ila nyie mnaweza kumsaidia kumuonyesha kuwa kuna option zingine nzuri tuu
Ajira imekuwa majanga,hivyo zitengenezwe fursa tunazoziweza kwa mazingira yetu na watunga sera tulionao kwa wakati wa sasa,tunatambalia ilipo fursa.Kwamba akawe mwizi wa mtandaoni kama hushpapy?
Wale wanaoongozà magari wananunua hizo nafasi ni mamilionaire. Bila 1.5 unaenda kulinda benki.Awe na connection na akiingia akasome vinginevyo kwapa zitamuuma sana kuongoza magari barabarani
Nakosa ata cha kukushauri kutonakana na kijana bado hajajua nini anatakaChuo cha kati kutokana na masomo aliyopass
Ni mawazo tu kila mtu anayo yake.Japo ajira imekua majanga, ila kwa hili wazo lako big No.
Kuna fundi nilikuwa naongea naye alipita njia kama hii aisee kibongo bongo naweza kusema amejipata ana maisha fulani yanayoelewekaAanze na udereva veta alafu akomae na mechanical engineering ya veta pia mtaani mtafutia garage apige kwa vitendo
Utakuja kunikumbuka