[1].Pole!alisoma day school?au boarding school?
[2].Matokeo yakiwa mabaya jiulize maswali yafuatayo(alikuwa anaishi maisha gani?shule ya aina gani? ni somo gani alikuwa analipenda/kuchukia?
[3].Kwa sasa muache kwanza atafakari baadae atakuwa na hamu ya kujiendeleza kwa jambo analopenda,kwani kisaikologia,atakuwa ameumia kwa matokeo kuwa mabaya.
[4].Muulize ni nini angependa kufanya katika maisha yake?wewe utaanzaia hapa,baada ya yeye kukupa jibu la swali lako.
[5].Usikimbilie kujiamulia wewe mwenyewe,mshirikishe ili afanye mambo ayapendayo kwa kupata ushauri.