USHAURI: Ana F zote na D moja katika masomo yake saba MATOKEO YA 4M FOUR

USHAURI: Ana F zote na D moja katika masomo yake saba MATOKEO YA 4M FOUR

kirama00

Member
Joined
Jan 25, 2013
Posts
27
Reaction score
0
Hebu nishaurini hyu mdogo wangu aende wapi kuresit amesema hawezi sasa nshaurini nmpleke chuo gani hapa bongo
 
Hakuna cghuo anachoweza kusoma kwa alama hizo labda asome huku akiwa anarreseat
 
Kama vp mpeleke uganda...nasikia wanapokea watu kama hao...
 
Huyo akalime tu au kama ni wa kike aolewe.otherwise utapoteza ada yako bure.
 
wasiliana na kipindi cha wanawake live chanel five (Jocye kiria) ampeleke kuna chuo cha ma house girl na ma house boy
entry qualiicationa hata darasa la saba
 
wasiliana na kipindi cha wanawake live chanel five (Jocye kiria) ampeleke kuna chuo cha ma house girl na ma house boy
entry qualiicationa hata darasa la saba

Te te te te tupo Wengi wenye watoto wenye matokeo kama aya! Kazi ipo tupeni kontakti za joyce kilia
 
Ajiunge na M4C itamlipa sana.Tena apate kitengo cha kapu ndo shavu dodo litamtoka
 
dah!! kama mzazi ata pakuanzia hujui uanze wapi.
 
[1].Pole!alisoma day school?au boarding school?
[2].Matokeo yakiwa mabaya jiulize maswali yafuatayo(alikuwa anaishi maisha gani?shule ya aina gani? ni somo gani alikuwa analipenda/kuchukia?
[3].Kwa sasa muache kwanza atafakari baadae atakuwa na hamu ya kujiendeleza kwa jambo analopenda,kwani kisaikologia,atakuwa ameumia kwa matokeo kuwa mabaya.
[4].Muulize ni nini angependa kufanya katika maisha yake?wewe utaanzaia hapa,baada ya yeye kukupa jibu la swali lako.
[5].Usikimbilie kujiamulia wewe mwenyewe,mshirikishe ili afanye mambo ayapendayo kwa kupata ushauri.
 
Mmh ila haya matokeo yameshika watu pabaya
 
kama ni msichana wee mlete nimgegede tuu na ata hamia kwangu
 
Huyo akalime tu au kama ni wa kike aolewe.otherwise utapoteza ada yako bure.
Ndio maana ndoa hazidumu,watu wanadhani ndoa ni sehemu ya kwenda kukimbia matatizo.
 
Kuna mafunzo ya ujasiriamali huwa nayasikia wanatangaza Wapo Radio, wanafundisha vitu vingi sana na nimesikia watu wakitoa shuhuda za mafanikio wao hawaangalii vyeti,jaribu kumpeleka.
 
Hebu nishaurini hyu mdogo wangu aende wapi kuresit amesema hawezi sasa nshaurini nmpleke chuo gani hapa bongo

Mbona vyuo viko vingi tu. Kuna Bongo star search, THT - House of Talent, Bongo movies, kuimba bongo fleva na vingine vingi tu. Usije kuta huyu dogo anakufanyia makusudi kufeli kihivi ili ajifanyie vitu vyake. Siku hizi watoto/vijana wengi wanaona fleva na mademu inalipa hivyo kila mmoja anataka kuimba ili apate sifa na mademu. Msikilize dogo anataka nini ili umsaidie ipasavyo, usimuulize kiukali.
 
Back
Top Bottom