Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wasiliana na kipindi cha wanawake live chanel five (Jocye kiria) ampeleke kuna chuo cha ma house girl na ma house boy
entry qualiicationa hata darasa la saba
Ndio maana ndoa hazidumu,watu wanadhani ndoa ni sehemu ya kwenda kukimbia matatizo.Huyo akalime tu au kama ni wa kike aolewe.otherwise utapoteza ada yako bure.
Kama vp mpeleke uganda...nasikia wanapokea watu kama hao...
Hebu nishaurini hyu mdogo wangu aende wapi kuresit amesema hawezi sasa nshaurini nmpleke chuo gani hapa bongo