Ushauri: Ana miaka 30 anataka kusoma degree ya udaktari. Anahofia umri wake umeenda sababu udaktari miaka mingi

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani.

Sasa amegundua solution ya maisha yake ni kusoma anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri.

Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpaka kuwa daktari bingwa.
 
Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake Ni kusoma ... Anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpka kuwa daktari bingwa
Kama udaktari ana passion nao na anapenda tu kutimiza ndoto yake, umri siyo issue.

Miaka 5 siyo mingi. Aaome tu hata Degree moja, asijilazimishe sanankusoma mpaka kuwa bingwa for nothing.

Hata sasa hivi atakaa tu idle na hiyo miaka 5 itakata akiwa hakuna alichofanya.

Kwasababu kama huo udaktari ni miaka mingi, ndani ya hiyo miaka 5 atakuwa anafanya nini cha maana kingine.
 
Akiendelea kusubiri kuchukua maamuzi atajikuta anafikisha miaka 35 wakati kama akichukua maamuzi hayo leo atakua ashapata alicho hitaji.
Kwama vigezo vinaruhusu mwambie asome miaka 30 si mingi sana
 
Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake Ni kusoma ... Anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpka kuwa daktari bingwa
Hajachelewa kabisa ila asome bachelor (MD). Atakutana na Clinical Officers wanaojiendeleza waliomzidi umri hivyo atakuwa dogo tuuu.
 
Sie wengine tulio acha chuo mwaka wa mwisho semister ya mwisho tunaruhusiwa kumshauri?
 
Miaka 30 si mingi sana.

Mwambie apige kitabu.
 
Amezidi miaka 5 tangu amalize form 6 so automatically amekosa kigezo muhimu, so verification Itamgomea kutoka TCU. Angalau angekuwa amepita diploma.
Aende private institutions atapata fasta
 
Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake Ni kusoma ... Anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpka kuwa daktari bingwa
Asipotezi mda apambane mtaani nimepata mtoto mrembo 26 yrs yuko hospital flani mjini Dar kubwa tu analipwa laki 7 sasa yeye na miaka 30 itamsaidia nini?

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Hii inahusiana vipi na mapenzi na mahusiano?
Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake Ni kusoma ... Anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpka kuwa daktari bingwa
 
Mtu apate one ya 5 kipindi hicho halafu aingie mtaani kweli wakati ajira zilikuwa za kumwaga enzi za Jakaya nini kilitokea?
 
Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake Ni kusoma ... Anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpka kuwa daktari bingwa
Mwaka 2013 aliyepata division one ya 5 ya PCB alikuwa Erasmi Inyanse na ndiye alikuwa T.O .Sasa huyo kijana unayemsemea ndiye huyo T.O ?
 
Back
Top Bottom