Ushauri: Ana miaka 30 anataka kusoma degree ya udaktari. Anahofia umri wake umeenda sababu udaktari miaka mingi

Ushauri: Ana miaka 30 anataka kusoma degree ya udaktari. Anahofia umri wake umeenda sababu udaktari miaka mingi

Mwaka 2013 aliyepata division one ya 5 ya PCB alikuwa Erasmi Inyanse na ndiye alikuwa T.O .Sasa huyo kijana unayemsemea ndiye huyo T.O ?
Na Erasmi Inyanse alishagraduate kitambo udsm bachelor of scince in Petroleum Engineering
 
Ukihitimu shahada ya udaktari unakuwa Jnr Dr, hii nafasi inawafaa vijana kwani kila tatizo utaitwa wewe, likikushinda ndiyo unawafahamisha wakubwa zako.
 
Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani.

Sasa amegundua solution ya maisha yake ni kusoma... anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri.

Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpaka kuwa daktari bingwa.
Udaktari gani wa falsafa au wa utibabu, meno, au wanyama au kupiga ngoma?
 
Kuna limitation kwa waliopita form 6, ukikaa miaka mitano mfululizo bila kujiunga na chuo unakosa sifa stahiki kwa course za afya. Kwa waliotokea kazini or diploma hii haiwahusu.

Mwambieni ajaribu then atakuja toa ushahidi hapa.

Acha kudanganya watu bana...TCU guide imeandika wapi kigezo cha umri kama criterial ya kupata admission?? Tupe evidence ya unachokisema
 
Back
Top Bottom