ubuntuX
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 1,977
- 2,200
Huu mwaka watu tulifeli sana..mwak ulikua mgumuMwaka 2013 aliyepata division one ya 5 ya PCB alikuwa Erasmi Inyanse na ndiye alikuwa T.O .Sasa huyo kijana unayemsemea ndiye huyo T.O ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu mwaka watu tulifeli sana..mwak ulikua mgumuMwaka 2013 aliyepata division one ya 5 ya PCB alikuwa Erasmi Inyanse na ndiye alikuwa T.O .Sasa huyo kijana unayemsemea ndiye huyo T.O ?
Duuhh nasikia leo kuwa chuo kuna vigezo wa umri
Na Erasmi Inyanse alishagraduate kitambo udsm bachelor of scince in Petroleum EngineeringMwaka 2013 aliyepata division one ya 5 ya PCB alikuwa Erasmi Inyanse na ndiye alikuwa T.O .Sasa huyo kijana unayemsemea ndiye huyo T.O ?
Sijawahi sikia hii[emoji23]Yes!MUHAS ukiwa na zaidi ya miaka 28 huwezi kusoma Medicine.Kasome vigezo vya kujiunga
Hiii ya wapi hiiAmezidi miaka 5 tangu amalize form 6 so automatically amekosa kigezo muhimu, so verification Itamgomea kutoka TCU. Angalau angekuwa amepita diploma.
Kwan chuo ni muhas tu?Yes!MUHAS ukiwa na zaidi ya miaka 28 huwezi kusoma Medicine.Kasome vigezo vya kujiunga
Mkuu nilikuwa na mjibu aliyesema kuwa hajawahi kusikia kigezo Cha umri kwenye vyuoKwan chuo ni muhas tu?
Labda ndio yyMwaka 2013 aliyepata division one ya 5 ya PCB alikuwa Erasmi Inyanse na ndiye alikuwa T.O .Sasa huyo kijana unayemsemea ndiye huyo T.O ?
Udaktari gani wa falsafa au wa utibabu, meno, au wanyama au kupiga ngoma?Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani.
Sasa amegundua solution ya maisha yake ni kusoma... anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri.
Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpaka kuwa daktari bingwa.
Kuna limitation kwa waliopita form 6, ukikaa miaka mitano mfululizo bila kujiunga na chuo unakosa sifa stahiki kwa course za afya. Kwa waliotokea kazini or diploma hii haiwahusu.
Mwambieni ajaribu then atakuja toa ushahidi hapa.