Kama udaktari ana passion nao na anapenda tu kutimiza ndoto yake, umri siyo issue.Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake Ni kusoma ... Anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpka kuwa daktari bingwa
Hajachelewa kabisa ila asome bachelor (MD). Atakutana na Clinical Officers wanaojiendeleza waliomzidi umri hivyo atakuwa dogo tuuu.Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake Ni kusoma ... Anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpka kuwa daktari bingwa
Amezidi miaka 5 tangu amalize form 6 so automatically amekosa kigezo muhimu, so verification Itamgomea kutoka TCU. Angalau angekuwa amepita diploma.
Aende private institutions atapata fastaAmezidi miaka 5 tangu amalize form 6 so automatically amekosa kigezo muhimu, so verification Itamgomea kutoka TCU. Angalau angekuwa amepita diploma.
Asipotezi mda apambane mtaani nimepata mtoto mrembo 26 yrs yuko hospital flani mjini Dar kubwa tu analipwa laki 7 sasa yeye na miaka 30 itamsaidia nini?Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake Ni kusoma ... Anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpka kuwa daktari bingwa
Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake Ni kusoma ... Anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpka kuwa daktari bingwa
Yes!MUHAS ukiwa na zaidi ya miaka 28 huwezi kusoma Medicine.Kasome vigezo vya kujiungaDuuhh nasikia leo kuwa chuo kuna vigezo wa umri
Mwaka 2013 aliyepata division one ya 5 ya PCB alikuwa Erasmi Inyanse na ndiye alikuwa T.O .Sasa huyo kijana unayemsemea ndiye huyo T.O ?Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani. Sasa amegundua solution ya maisha yake Ni kusoma ... Anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri. Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpka kuwa daktari bingwa
AiseeSie wengine tulio acha chuo mwaka wa mwisho semister ya mwisho tunaruhusiwa kumshauri?
Tena One ya 5 kipindi hicho sidhani kama zilizidi hata 4 TZ nzima.Mtu apate one ya 5 kipindi hicho halafu aingie mtaani kweli wakati ajira zilikuwa za kumwaga enzi za jakaya nini kilitokea ?