heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Mleta mada aachane na hayo mambo afanye mambo mengine...
Uko njia panda ya kuliwa mafla..
Miaka ya nyuma kuna mmoja aliambiwa achague kuvunjwa meno mawili pamoja na mkono au apakwe mafuta na waume watatu.Kuna jamaa jirani ninapofanyia kazi, kafumaniwa na mke wa mtu; mwenye mke akamwambia achague moja kati ya kichapo au kufirwa.
Jamaa akachagua kufirwa.
Alifika eneo hilo akiwa na gari yenye mzigo wake kupeleka sokoni Dar.
Kutokana na kadhia hiyo, asubuhi yake gari ilitangulia na yeye akachelewa na kuifata mchana.
Jamaa ana hali mbaya sana kisaikolojia maana watu wote wanaofanya naye kazi na vijiweni wanajua maana ni mtu maarufu pande hizo.
Kwa niaba ya watu wazima wote wa humu jf, tunakushauri utembee na kilainishi Mana muda wowote utavuliwa ubingwa kijana. Nakala financial services kwa maelekezo zaidi
umeongea kwa uchungu,,eti wanasema ambao hawajaolewa ni wachunajiHivi wanawake wote ambao hawajaolewa hamuwaoni mpaka βmdateβ na wake zetu..?
Vijana mna shida sana
Kwahiyo wanataka vya bure sio?? Ajitahidi kutembea na vilainishi ili kupunguza maumivu wakati wa kuvuliwa ubingwaumeongea kwa uchungu,,eti wanasema ambao hawajaolewa ni wachunaji
ππππMbona vilainishiKwahiyo wanataka vya bure sio?? Ajitahidi kutembea na vilainishi ili kupunguza maumivu wakati wa kuvuliwa ubingwa
Kuepuka michubuko wakati wanamtoa hatua moja kumpeleka nyingine, au wakati wanamvua ubingwaππππMbona vilainishi
kuweni na huruma basiKuepuka michubuko wakati wanamtoa hatua moja kumpeleka nyingine, au wakati wanamvua ubingwa
Mbona watu wanahuruma, unadhani watu hawana huruma mkuu??πππkuweni na huruma basi
huruma kumvua mtu ubingwa kwel?Mbona watu wanahuruma, unadhani watu hawana huruma mkuu??πππ
Kama yeye anapenda vya bure, kwanini yeye asionjeshwe dudu aone Kama ni vizuri?? Si unajua kila kitu kina gharama yake mkuu??huruma kumvua mtu ubingwa kwel?
duuuh umemaliza mkuuKama yeye anapenda vya bure, kwanini yeye asionjeshwe dudu aone Kama ni vizuri?? Si unajua kila kitu kina gharama yake mkuu??
Kabisa mkuuduuuh umemaliza mkuu
Kwani kweli mnawachuna mwanangu..? Hahaumeongea kwa uchungu,,eti wanasema ambao hawajaolewa ni wachunaji