Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
sio kwel,,sikuiz wao ndo wanatuchuna sisi,, kwaio wamejua ni makapuku ndomana wanatukimbiaKwani kweli mnawachuna mwanangu..? Haha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio kwel,,sikuiz wao ndo wanatuchuna sisi,, kwaio wamejua ni makapuku ndomana wanatukimbiaKwani kweli mnawachuna mwanangu..? Haha
Nimecheka kama fala. Haha. Bado sijawahi kutunzwa na mwanamke tangia nizaliwe na sidhani kama itawahi kutokea hata kwa bahati mbaya. Hela za kupewa na wanawake nachojua ni ngumu sana na zinakuja na kila aina ya dharau, whether its noticed or unnoticed.sio kwel,,sikuiz wao ndo wanatuchuna sisi,, kwaio wamejua ni makapuku ndomana wanatukimbia
omba Mungu hapo ulipo usianguke na hata ikitokea umeanguka usianguke kizembeNimecheka kama fala. Haha. Bado sijawahi kutunzwa na mwanamke tangia nizaliwe na sidhani kama itawahi kutokea hata kwa bahati mbaya. Hela za kupewa na wanawake nachojua ni ngumu sana na zinakuja na kila aina ya dharau, whether its noticed or unnoticed.
Amina.omba Mungu hapo ulipo usianguke na hata ikitokea umeanguka usianguke kizembe
Hatari sanaMiaka ya nyuma kuna mmoja aliambiwa achague kuvunjwa meno mawili pamoja na mkono au apakwe mafuta na waume watatu.
Alipita mtaani akiwa na P.O.P mkononi na meno hana baada ya week hivi.
Njoo tuimbe zetu wimbo wa Nay wa mitego, bachelor 😂😂😂omba Mungu hapo ulipo usianguke na hata ikitokea umeanguka usianguke kizembe
😂😂😂😂we mchawi kwanin unialike mimi umejuajeNjoo tuimbe zetu wimbo wa Nay wa mitego, bachelor 😂😂😂
Niliskiliza hio nyimbo asubuhi and it has been on my mind tangu asubuhi😂😂😂😂we mchawi kwanin unialike mimi umejuaje
Sisi ni ma bacheloooooooor.......Niliskiliza hio nyimbo asubuhi and it has been on my mind tangu asubuhi
Nili pause kama dk 2 hivi nikiwa siamini kinachoimbwa 😂😂😂Sisi ni ma bacheloooooooor.......
usinambie ndo umeuskia leo😂😂Nili pause kama dk 2 hivi nikiwa siamini kinachoimbwa 😂😂😂
😄😃😄😄😄Kuna mwana alimfumania mkewe na jamaa sasa mume akasema mwamba atowe tako.
Mwana nae akasema kwani yeye pekee ndie aliekuwa na kosa hata atowe tako poke yake.
Kuna wana wakaunga mkono na mke wa jamaa nae aliwe, mume alikataa mkewe kunyanduliwa hapo ikawa ponea ya mwana.
Hivii hii adhabu ya ulawitii kwa wagoni, ni fashion au? Si ndo mnazalisha mashoga hivi?Kuna jamaa jirani ninapofanyia kazi, kafumaniwa na mke wa mtu; mwenye mke akamwambia achague moja kati ya kichapo au kufirwa.
Jamaa akachagua kufirwa.
Alifika eneo hilo akiwa na gari yenye mzigo wake kupeleka sokoni Dar.
Kutokana na kadhia hiyo, asubuhi yake gari ilitangulia na yeye akachelewa na kuifata mchana.
Jamaa ana hali mbaya sana kisaikolojia maana watu wote wanaofanya naye kazi na vijiweni wanajua maana ni mtu maarufu pande hizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKuna mwana alimfumania mkewe na jamaa sasa mume akasema mwamba atowe tako.
Mwana nae akasema kwani yeye pekee ndie aliekuwa na kosa hata atowe tako poke yake.
Kuna wana wakaunga mkono na mke wa jamaa nae aliwe, mume alikataa mkewe kunyanduliwa hapo ikawa ponea ya mwana.