Kiparamoto
Senior Member
- Oct 1, 2015
- 100
- 100
- Thread starter
- #21
Haha luckily hajawahi kulalamika kwenye upande huo.Km PESA na UBOO unampa ipasavyoo, bas hayo mengine yasikusumbue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha luckily hajawahi kulalamika kwenye upande huo.Km PESA na UBOO unampa ipasavyoo, bas hayo mengine yasikusumbue.
Bro inatakiwa uelewe love language ya mpenzi wako , ndio ukomae nayo acha usela uyo ni mpenzi wako sio msela wakoHaha luckily hajawahi kulalamika kwenye upande huo.
Well, kwanza I found it very weird mtu kununa kwa kigezo kuwa simtreat in a romantic way, sikuwahi kufikiria mtu mzima anaweza kuraise such a matter ukizingatia nafanya vile a man anapaswa kumfanyia mpenzi wake Sasa hayo anayoyataka yeye mimi naona it's strange, but may it's true I need sometimes kujiadjust anavyotaka yeye.
Ahsante kiongozi.Binadamu wote ni static ili uende nao unabidi kuwa dynamic.
Unajisoma wewe ni MTU wa aina gani then unamsoma na MTU wako ujue ni MTU wa aina gani
Mfano anasema anahitaji Romantic and well treated
Hizo Kama sio sifa zako za Asili lazima uangalie Kama unaweza kuzipata
So ukiona hauwezi kuwa nazo Ila unampenda Sana MTU wako inabidi uanze kuwa pretender ili uendane naye.
Mfano wewe unaweza kuwa unaongea kibabe kwa kufoka foka je ukiajiriwa na Vodacom Kama customer care je utaendelea kuongea kwa kufoka foka au utabidi uigize character ya upole ili uendane na wateja.
So tumia hizo mbinu be pretender for while
Ahsante kiongozi.
I got it, useful comment.Bro inatakiwa uelewe love language ya mpenzi wako , ndio ukomae nayo acha usela uyo ni mpenzi wako sio msela wako
I got it, useful comment.
Matatizo ya wadada wanahisi maisha ya Korean movie ndo uhalisia 😂😂😂Wakuu,
Mimi ni kijana wa makamo, on my early 30s, sina familia (mke & mtoto), vipaumbele vyangu kwenye maisha ni kujitoa kwenye dimbwi la umasikini uliokithiri kwenye familia zetu hizi za kiswahili, ukijumlisha nilishawahi kupigwa matukio huko nyuma na wachumba kwa kukosa vijisenti hata vya mboga basi focus yangu kubwa kwa mda mrefu imekuwa ni kufanya kazi kwa bidii na kutafuta financial freedom.
It's been a while, over 5+ years sijakuwa kwenye mahusiano serious, hata mabinti ninaokutana nao huwa nawaambia toka mwanzo kuwa sina mpango wa kufanya mahusiano nao ya serious, just having some fun na kuzagamuana tu, wengi wamekuwa wakielewa hilo.
Hivi karibuni nimejikuta kwenye penzi zito na mtoto wa "kiburushi" toka kusini (anaishi dar) nimekuwa nae kwa kipindi Cha miezi kadhaa naona anakila sifa za kumfanya awe wife, shida inakuja moja, huyu binti amekuwa akilalamika mno kuwa nimezidisha Usela sana kwake, hata ninavyomtreat ni kama msela mwenzangu, kuanzia kumtext, na hata mazungumzo yetu, anadai anataka ajifeel kama mtoto wa kike/mpenzi na si vinginevyo, anasema sipo romantic kwake kitu ambacho mimi kinanipa wakati mgumu coz ninavyoishi ndio maisha yangu huko kuwa romantic anavyotaka yeye mimi najionea shida, nampa mtahitaji yake yote, namfanya rafiki lakini changamoto ndio hiyo binti anataka mapenzi ya kwenye sinema na luninga mimi sijazoea ukizingatia nina mda mrefu sipo kwenye mahusiano.
Mnisaidie ndugu zangu msela Mimi nisimpoteze mrembo huyu.
"Unampa mahitaji yake yote"Wakuu,

Yeye unavomuona yuko romantic?😀😀 Kwenye hili ni kweli amekuwa akilalamika mara nyingi nikiongea nae lazima nimuite "mwanangu", which I thought it's normal and friendly way ila nimekuja kugundua kuna mda ananuna kabisa, for really?
Aachane na weweWakuu,
Mimi ni kijana wa makamo, on my early 30s, sina familia (mke & mtoto), vipaumbele vyangu kwenye maisha ni kujitoa kwenye dimbwi la umasikini uliokithiri kwenye familia zetu hizi za kiswahili, ukijumlisha nilishawahi kupigwa matukio huko nyuma na wachumba kwa kukosa vijisenti hata vya mboga basi focus yangu kubwa kwa mda mrefu imekuwa ni kufanya kazi kwa bidii na kutafuta financial freedom.
It's been a while, over 5+ years sijakuwa kwenye mahusiano serious, hata mabinti ninaokutana nao huwa nawaambia toka mwanzo kuwa sina mpango wa kufanya mahusiano nao ya serious, just having some fun na kuzagamuana tu, wengi wamekuwa wakielewa hilo.
Hivi karibuni nimejikuta kwenye penzi zito na mtoto wa "kiburushi" toka kusini (anaishi dar) nimekuwa nae kwa kipindi Cha miezi kadhaa naona anakila sifa za kumfanya awe wife, shida inakuja moja, huyu binti amekuwa akilalamika mno kuwa nimezidisha Usela sana kwake, hata ninavyomtreat ni kama msela mwenzangu, kuanzia kumtext, na hata mazungumzo yetu, anadai anataka ajifeel kama mtoto wa kike/mpenzi na si vinginevyo, anasema sipo romantic kwake kitu ambacho mimi kinanipa wakati mgumu coz ninavyoishi ndio maisha yangu huko kuwa romantic anavyotaka yeye mimi najionea shida, nampa mtahitaji yake yote, namfanya rafiki lakini changamoto ndio hiyo binti anataka mapenzi ya kwenye sinema na luninga mimi sijazoea ukizingatia nina mda mrefu sipo kwenye mahusiano.
Mnisaidie ndugu zangu msela Mimi nisimpoteze mrembo huyu.
Lakini misingi muhimu😂Jiandae kwa yoyote. Umeishi kisela sela sana ndomaana unaona kama ndo ulivyo.
Legeza kwa mpenzi wako😂😂 vinginevyo utakuja na Uzi mwingine wanawake hawaridhiki na bla blaaa..Niko pale nakusubiri.