Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misingi kwa nani? 🙄 Endeleeni na misingi kila mtu atatafuta kwakuangukiaLakini misingi muhimu😂
Wewe mademu zako hawalalamiki?Km PESA na UBOO unampa ipasavyoo, bas hayo mengine yasikusumbue.
😂😂😂Misingi kwa nani? 🙄 Endeleeni na misingi kila mtu atatafuta kwakuangukia
😂 Basi mnao masnitch kwenye maazimio yenu😂😂😂
Kwenye vikao vyetu huwa kuna vitu tunakubalianaga
😂😂😂 Basi mnao masnitch kwenye maazimio yenu
No sacrifice, bado hujapenda. 😂😂😂😂
Sema nn, Kuna muda pisi unaipenda kuiacha huwezi unajikuta unaacha misingi
I go by the name kantriwaidi, fake p p i see you halaaaa😩😩😂😂No sacrifice, bado hujapenda. 😂😂
I go by the name kantriwaidi, fake p p i see you halaaaa😩😩😂😂
Punguza maneno ya kisela mfano niaj,oi n.k jitahid kutumia maneno lainiWakuu,
Mimi ni kijana wa makamo, on my early 30s, sina familia (mke & mtoto), vipaumbele vyangu kwenye maisha ni kujitoa kwenye dimbwi la umasikini uliokithiri kwenye familia zetu hizi za kiswahili, ukijumlisha nilishawahi kupigwa matukio huko nyuma na wachumba kwa kukosa vijisenti hata vya mboga basi focus yangu kubwa kwa mda mrefu imekuwa ni kufanya kazi kwa bidii na kutafuta financial freedom.
It's been a while, over 5+ years sijakuwa kwenye mahusiano serious, hata mabinti ninaokutana nao huwa nawaambia toka mwanzo kuwa sina mpango wa kufanya mahusiano nao ya serious, just having some fun na kuzagamuana tu, wengi wamekuwa wakielewa hilo.
Hivi karibuni nimejikuta kwenye penzi zito na mtoto wa "kiburushi" toka kusini (anaishi dar) nimekuwa nae kwa kipindi Cha miezi kadhaa naona anakila sifa za kumfanya awe wife, shida inakuja moja, huyu binti amekuwa akilalamika mno kuwa nimezidisha Usela sana kwake, hata ninavyomtreat ni kama msela mwenzangu, kuanzia kumtext, na hata mazungumzo yetu, anadai anataka ajifeel kama mtoto wa kike/mpenzi na si vinginevyo, anasema sipo romantic kwake kitu ambacho mimi kinanipa wakati mgumu coz ninavyoishi ndio maisha yangu huko kuwa romantic anavyotaka yeye mimi najionea shida, nampa mtahitaji yake yote, namfanya rafiki lakini changamoto ndio hiyo binti anataka mapenzi ya kwenye sinema na luninga mimi sijazoea ukizingatia nina mda mrefu sipo kwenye mahusiano.
Mnisaidie ndugu zangu msela Mimi nisimpoteze mrembo huyu.
Yeaaah 😂. Fake wherever, dikompoza. 😂😂
We mzee weweee 8 kids??? 😀Asikusumbue huyo, labda anajambo lake.
Mie sijaacha hard core life style, pamoja na kwamba nina mke na saizi tuna 8 kids...🤨
Wewee tenaaa 😀"Unampa mahitaji yake yote"
Uko wapi........
Kwanini mkuu?Mtoto wa kibulushi sio?
He he he pigo kuu
Nzuriii hii.Au kuongezea unakuwa MTU wa kujigawa vipande vipande
Mfano unapokuwa na MTU wako kuna jinsi Una -Appear
Unapokuwa na boss wako - kuna jinsi Una -appear
Na unapokuwa na masela wako mtaani kuna jinsi una-Una-appear
So hii itakusaidia kutomboa mke wako wala , wala masela zako wala boss wako.
Kila kitu unamalizia na my wangu 😀Hilo la kutext hata mchepuko wangu aliwah kuniambia kuwa sipo romantic,anataka kila mwsho wa sentensi niwe naweka my
Bora uachane nae, usitoke nje ya misingi