Ushauri: Anasema nimezidisha usela, niachane naye?


Binadamu wote ni static ili uende nao unabidi kuwa dynamic.

Unajisoma wewe ni MTU wa aina gani then unamsoma na MTU wako ujue ni MTU wa aina gani


Mfano anasema anahitaji Romantic and well treated

Hizo Kama sio sifa zako za Asili lazima uangalie Kama unaweza kuzipata

So ukiona hauwezi kuwa nazo Ila unampenda Sana MTU wako inabidi uanze kuwa pretender ili uendane naye.


Mfano wewe unaweza kuwa unaongea kibabe kwa kufoka foka je ukiajiriwa na Vodacom Kama customer care je utaendelea kuongea kwa kufoka foka au utabidi uigize character ya upole ili uendane na wateja.


So tumia hizo mbinu be pretender for while
 
Ahsante kiongozi.
 
I got it, useful comment.


Au kuongezea unakuwa MTU wa kujigawa vipande vipande

Mfano unapokuwa na MTU wako kuna jinsi Una -Appear

Unapokuwa na boss wako - kuna jinsi Una -appear


Na unapokuwa na masela wako mtaani kuna jinsi una-Una-appear


So hii itakusaidia kutomboa mke wako wala , wala masela zako wala boss wako.
 
Aje aoe nani?
Mvumilie avumilie, atakaechoka ataondoka ila sio vizuri
 
Ka
Matatizo ya wadada wanahisi maisha ya Korean movie ndo uhalisia 😂😂😂
Mwambie hii ni bongo halisi sio movie hataki aende Korea aone kama atapata mtu wa hivyo
 
"Unampa mahitaji yake yote"

Uko wapi........
 
😀😀 Kwenye hili ni kweli amekuwa akilalamika mara nyingi nikiongea nae lazima nimuite "mwanangu", which I thought it's normal and friendly way ila nimekuja kugundua kuna mda ananuna kabisa, for really?
Yeye unavomuona yuko romantic?
Au anataka ww tu uwe romantic yeye aaaah
 
Akikukzia utupe mrejesho… mtu anapowekeza upendo kwako na wewe wekeza kwako


Yaani mimi mahusiano na mwanaume wa tabia Kama zako sitoboi maana nahisi kuumia kila siku

Mwanaume anatakiwa ajue kubalance mambo sio wewe ni wa hivyohivyo kila siku
 
Aachane na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…