Ushauri: Anataka akope hela lakini hataki kuzifata geto

Wanawake njaa hawa, anaonekana tamaa na njaa au mfumo wa maisha unampeleka mbio. si vyema kuomba omba hela kwa wanaume. hii ni shida kwa wanadada/watu wa dunia ya kipindi iki. upande wa pili wa shilingi una mambo mengi
 
Kuna mmoja ameshanichuna kama mia hv,ila sa hv ana shida ya kama 60 alfu hv,ila safari hapewi mtu bila papuchi
 
Mbona ipo wazi ni kwamba hamtaki tu. Ndivyo ilivyo sasa ukiona tu unamtongoza halafu anaanaza ku demand ujue ni kwamba anajaribu kukutengenezea mipaka minene.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…