Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ipo wazi ni kwamba hamtaki tu. Ndivyo ilivyo sasa ukiona tu unamtongoza halafu anaanaza ku demand ujue ni kwamba anajaribu kukutengenezea mipaka minene.Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada.
Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei kabisa simu.
Sasa juzi huyu msichana kampigia simu na kutaka jamaa (dogo) amsaidie Tsh 40,000/- kwamba atairudisha baada ya wiki moja hivi. Dogo amemwambia aende geto Ili akampe hiyo pesa lakini anachomoa akidai kumsaidia siyo lazima afike geto.
Dogo naye kakaza kwamba atampa hiyo pesa atakapofika geto, manzi bado anazungusha ili hali bado anashida na pesa.
Mimi ndie niliyemshauri kwamba amwambie aje achukulie hiyo pesa geto lakini demu amechomoa akidai amtumie au wakutane barabarani ili ampe hiyo pesa. Naamini humu kuna wajuzi wa hizi ishu, ebo tumpe ushauri dogo.