Ushauri: Anataka akope hela lakini hataki kuzifata geto

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348
Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada.

Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei kabisa simu.

Sasa juzi huyu msichana kampigia simu na kutaka jamaa (dogo) amsaidie Tsh 40,000/- kwamba atairudisha baada ya wiki moja hivi. Dogo amemwambia aende geto Ili akampe hiyo pesa lakini anachomoa akidai kumsaidia siyo lazima afike geto.

Dogo naye kakaza kwamba atampa hiyo pesa atakapofika geto, manzi bado anazungusha ili hali bado anashida na pesa.

Mimi ndie niliyemshauri kwamba amwambie aje achukulie hiyo pesa geto lakini demu amechomoa akidai amtumie au wakutane barabarani ili ampe hiyo pesa. Naamini humu kuna wajuzi wa hizi ishu, ebo tumpe ushauri dogo.
 
Huyo dogo mbona kama ni wewe??

Elfu 40 kwako ni asilimia ngapi ya kipato chako cha mwezi?

Kama mshahara wako Kwa mwezi au kipato chako Kwa mwezi hakizidi laki nne ...usimpe kabisa hiyo hela ..
Hata kama akikupa mapenzi mpe hela kulingana na uwezo wako...
But kama Una kipato kikubwa kidogo
Mfano unaingiza elfu 50 kila siku..
Unaweza kumpa kibinadamu Tu...wala sio lazima akulipe mapenzi...akirudisha poa ..asiporudisha poa....unaachana nae
 
Nakazia, afate ushauri huu.
 
Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije Moja Kwa Moja kwenye mada.
Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi.
Kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei kabisa simu.

Sasa juzi huyu Dem kampigia simu na kutaka jamaa(dogo) amsaidie Tsh 40,000/- kwamba atailudisha baada ya wiki Moja hivi. Dogo amemwambia aende geto Ili akampe hiyo pesa lakini anachomoa akidai kumsaidia sio lazima afike geto.
Dogo naye kakaza kwamba atampa hiyo pesa atakapofika geto, manzi bado anazungusha Ili hali bado anashida na pesa.
Mimi ndie niliyemshauri kwamba amwam ie aje achukulie hiyo pesa geni lakini demu amechomoa akidai amtumie au wakutane barabarani Ili ampe hiyo pesa. Naamini humu kuna wajuzi wa hizi ishu ebo tumpe ushauri dogo
Ulivyoandika ushauri wa haraka unaohitajika, nikajua unataka kujiua.

Kwenye kula mbususu au kuhonga, hakunaga haraka. Ikibidi postpone kabisa swala la kumpa hiyo hela, mwambie utamsort akipata tatizo jingine, ili acha lipite.
 
Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije Moja Kwa Moja kwenye mada.
Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi.
Kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei kabisa simu.

Sasa juzi huyu Dem kampigia simu na kutaka jamaa(dogo) amsaidie Tsh 40,000/- kwamba atailudisha baada ya wiki Moja hivi. Dogo amemwambia aende geto Ili akampe hiyo pesa lakini anachomoa akidai kumsaidia sio lazima afike geto.
Dogo naye kakaza kwamba atampa hiyo pesa atakapofika geto, manzi bado anazungusha Ili hali bado anashida na pesa.
Mimi ndie niliyemshauri kwamba amwam ie aje achukulie hiyo pesa geni lakini demu amechomoa akidai amtumie au wakutane barabarani Ili ampe hiyo pesa. Naamini humu kuna wajuzi wa hizi ishu ebo tumpe ushauri dogo
Huyo demu anamchuna dogo hamkubali wala nn in short demu aje achukue pesa ghetto la sivyo dogo kaliwa huyo

Ni akili ndogo tu hiyo
 
Dogo naye kakaza kwamba atampa hiyo pesa atakapofika geto

Mwanaume unapotongoza demu,
Mueleze unachotaka bila kuzunguka. Akikubali kula Mzigo then Mengine yaendelee, na akikataa(kama huyo wako), basi achana nae nenda NEXT.

Okoeni Muda Vijana, hakikisha muda wote hauna Scarcity ya Wanawake.

Be a Man. Respect yourself.
 
Aje geto tuu apigwe "Mbupu" achukue hiyo 40 afu usimdai😁
 
Msichana anaogopa kuja ghetto atabakwa na pesa hatopata.
Mwambie dogo ampe barabarani hio pesa Ili apate uaminifu then akishaaminika ataikimbia mwenyewe.
" NB.
Ngono uleta umasikini
 
Wakuu habarini za muda huu, matumaini mu wazima wa Afya. Nije moja kwa moja kwenye mada.

Jana mchana nimefatwa na dogo mmoja akitaka nimpe ushauri. Iko hivi, ana msichana aliyemtokea takribani Kwa wiki 2 hivi, kila akijaribu kucheza nae msichana hampi majibu mazuri na wakati mwingine hapokei kabisa simu.

Sasa juzi huyu msichana kampigia simu na kutaka jamaa (dogo) amsaidie Tsh 40,000/- kwamba atairudisha baada ya wiki moja hivi. Dogo amemwambia aende geto Ili akampe hiyo pesa lakini anachomoa akidai kumsaidia siyo lazima afike geto.

Dogo naye kakaza kwamba atampa hiyo pesa atakapofika geto, manzi bado anazungusha ili hali bado anashida na pesa.

Mimi ndie niliyemshauri kwamba amwambie aje achukulie hiyo pesa geto lakini demu amechomoa akidai amtumie au wakutane barabarani ili ampe hiyo pesa. Naamini humu kuna wajuzi wa hizi ishu, ebo tumpe ushauri dogo.
Wewe na huyo dogo hamjitambui.
 
Manzi hajampenda dogo...huo ndo ukweli.

Asitumie Hela kumfanya Demu ampemde.
Sawasawa halafu kibaya zaidi manzi anamwonba sana dogo vivocha vicha, ila alipoomba pesa kubwa dogo akaamua amwambie aje achukue geto
 
Back
Top Bottom