Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Sahihi kabisa.Sio vibaya pia kwa sababu kila mtu anakanuni yake ya maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi kabisa.Sio vibaya pia kwa sababu kila mtu anakanuni yake ya maisha.
Kijana umejitambua mapema sana , nikiwa na umri wako mda kama huu nipo chini ya matiti ya majishangazi 😜😜😜 .utafika mbali mkuu✊️✊️Ukimkataza kugombana/upendo kupungua ni uhakika.
Ukimruhusu mtaendelea kuishi vizuri ikiwa anaijua sehemu yake kama mke.
Dm unafunga dada na mm uliahidi kunisaidia kmya.Kama anaweza kumlipa huo mshahara kila mwezi, anaweza kumnunulia gari basi ruksa kumkataza kufanya kazi.
Kama hawezi basi atulize Mapumbv!!
Ndio dada tena ukanambia niitafute pdphlm nikiikosa nikuchek nimekuja dm umefunga service girl.Nilihaidi kukusaidia? Nikumbushe kidogo
PodophlnHili neno maana yake nini
Kakaangu mmoja alioa Ke Dr, mwaka wa 10 huu anaugulia maumivu hajawahiona pesa ya Ke ktk mchango wowote ule kifamilia.moja ya changamoto za kwenye ndoa