Kadwanguruzi
Member
- Oct 9, 2024
- 70
- 90
Nashkuru sana kwa ushauri, pili eneo ni flat, tambarare. Tatu, kuna mtu alnambia eri ktk ujenzi ukiongezea kitu, gharama inazid kupanda maradufu japo sijui ni ukwel kiasi gan, lkn ntafanya more research about it. Nashkuru, ila sasa tuseme ndo nmechkua ushauri wako wa 2 bedrooms, na sebule. Msingi utagharimu pesa ngapi. Eneo ni tambarareMsingi unategemea na slope ya eneo either flat au muinuko
Kingine jenga vitatu mkuu gharama hazitofautiani sana na hiyo unayotaka kuanza nayo utajikuta umetumia pesa nyingi kwa kajumba kadogo wakati ungeweza kuongeza kidogo ukajenga ya vyumba vitatu ni ushauri tu