Ushauri: Anza hata na chumba na sebule. Nyumba kubwa inatesa

Nashkuru sana kwa ushauri, pili eneo ni flat, tambarare. Tatu, kuna mtu alnambia eri ktk ujenzi ukiongezea kitu, gharama inazid kupanda maradufu japo sijui ni ukwel kiasi gan, lkn ntafanya more research about it. Nashkuru, ila sasa tuseme ndo nmechkua ushauri wako wa 2 bedrooms, na sebule. Msingi utagharimu pesa ngapi. Eneo ni tambarare
 
Kama factor zikiwa constant kwa maana ni sehem kavu haina maji maji na ni flat ukiamua kuamsha kama coz tatu andaa tofali zisizopungua 300 na cement 3 japo hata mbili zinaweza tosha

Pia kupunguza gharama kama eneo sio la kutitia acha mambo za kueka nguzo na mkanda unapoteza pesa tu bure

Hiyo ni minimum estimation maana nimewahi kujenga sehemu yenye muinuko gharama za msingi zilienda 1.5m pamoja na kifusi nilitumia tofali 600 na cement 5 pamoja na nondo kadhaa ila ni 3bed room

Kuhusu kuongezeka kwa gharama chumba kimoja na viwili gharama ni zile zile tu zinatofautiana kidogo sana hasa kwenye finishing pia kujenga ni kazi hadi umalize kujenga tena unaweza kuta ni shida huku ushapata familia
 
Sawa, eneo ni kavu kabisa maana liko juu juu flan ivi kiliman, kuhusu nguzo za mkanda ntalizingatia, pia km vyumba viwili na kimoja tofauti ni kdgo, basi itabid nikae chin kwenye drawing board, nione namna ya kubadil raman hii.. japo na doubt khusu ongezeko la gharama. Ubarikiwe mno mkuu
 
Ni vyema ungetuonyesha mchanganuo wako wa namna unavyojenga ili tujifunze, ila kusema gharama kubwa bila kutuonyesha iliyo ndogo na affordable hututendei haki. Hapa tupo kujifunza zaidi na kurekebisha makosa,kwahiyo kuwa sehemu ya kuonyesha wengine njia bora na rahisi katika ujenzi.
 
Hii ilikuwa 3bed room moja master vyoo vya nje viwili store na jiko pamoja na kisima cha maji chenye urefu wa ft14 na mzunguuko wa ft5 kisima nimejenga kwa mawe na fence
 

Attachments

  • Screenshot_20241201-110216_1.jpg
    131.6 KB · Views: 12
  • Screenshot_20241201-110228_1.jpg
    73.4 KB · Views: 11
  • Screenshot_20241201-110228_2.jpg
    170.7 KB · Views: 11
  • Screenshot_20241201-110342_1.jpg
    237 KB · Views: 8
  • Screenshot_20241201-110417.png
    170.6 KB · Views: 8
  • Screenshot_20241201-110431.png
    157.9 KB · Views: 11
Wee kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…