Ushauri: Askofu Gwajima aanzishe Chama cha Siasa

Hata Bastola ina faida nyingi sana kama akili yako itaegemea kwny faida tu

Hata Sumu ina faida nyingi sana kama akili yako haitotafakari upande wa pili
Mkuu hiyo ripoti umeisoma vizuri. Usitafute pakutokea
 
Gwajima ndo mtu pekee aliyebak na fikra nje ya box wengine wote wanaenda kama kondoo au wamekula percent , au wamebanwa mbavu kama jiwe threatened to death
 
Mimi sisomi report, majibu ya covid yapo Mtaani

Google uone 52% ya admitted patients wa covid UK ni wale wenye full doze

Nshasoma sana hizo reports hadi nmechoka ila hazina majibu ya maswali ya msingi
Mkuu hiyo ripoti umeisoma vizuri. Usitafute pakutokea
 
kanisa la wasabato pia haliungi mkono chanjo hiyo wala si gwajima pekee, imesemwa chanjo ni hiari kwa nini wanaoikosoa muwaone wahalifu, wewe na wenzio inaowapendeza chanjeni kwa wingi na kwa kujirudiarudia kadri muwezavyo, hakuna atakae wauliza.
WASABATO ndio hawafai kabisa, Methodist na wenzao walokole hawaongezewi damu kabisa sembuse kudungwa sindano
hao wote wanaamini katika Ufunuo kuwa wakatiwa wa 666 umefika
watu wasioamini katika Majanga bora wakae kimya
Chanjo ni hiari lkn kumshawishi wengine wakakae airport ndege itakuja kuwanyakuwa haikubaliki
Huyu Gwajima ifike muda akamatwe tu mambo ya kujiprlrka Ikulu kujisafisha na clip za XXX safari hakuna
 
Wewe ni mwoga sana, afutiwe kanisa kwa kukosoa?
Huu ni ukuku, ndio maana ccm hawataki kukosolewa wanasingizia wakosaji ugaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…