Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hiyo ripoti umeisoma vizuri. Usitafute pakutokea
Muulize kwani ARV ni chanjo?Hakuona haja ya kuhoji ÁRV, ila ameona umuhimu wa kuhoji chanjo ya corona, kwani taabu nini hapa.
WASABATO ndio hawafai kabisa, Methodist na wenzao walokole hawaongezewi damu kabisa sembuse kudungwa sindanokanisa la wasabato pia haliungi mkono chanjo hiyo wala si gwajima pekee, imesemwa chanjo ni hiari kwa nini wanaoikosoa muwaone wahalifu, wewe na wenzio inaowapendeza chanjeni kwa wingi na kwa kujirudiarudia kadri muwezavyo, hakuna atakae wauliza.
Wewe ni mwoga sana, afutiwe kanisa kwa kukosoa?Ni wazi kabisa kwa Askofu Gwajima anatakiwa aanzishe chama cha siasa badala ya kujifanya anahubiri dini. Hii ni wiki ya 3 mfulilizo kwa huyu Mbunge wa CCM anatoa kauli ya kupingana na Mwenyekiti kiti wa CCM na jopo la wataalamu katika masuala ya chanjo ya Covid 19.
Inavyoonekana Askofu Gwajima anatekeleza mawazo ya wafadhili wake wa huko Marekani katika kupotosha watanzania kuhusu chanjo hii.
Serikali isifumbie macho kauli ya Askofu Gwajima na ikiwezekana kulifuta kabisa kanisa lake. Hakuna kiongozi yeyote wa kidini katika nchi jirani zetu aliyejaribu kuhamasisha waumini wake wasichanjwe.