Ushauri au mawazo tatizo la kusahau majina ya watu

Ushauri au mawazo tatizo la kusahau majina ya watu

Engineer izaq

New Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
3
Reaction score
1
Habari,

Naomba ushauri wenu au mwnye changamoto kama yangu anaikabili vipi?

Kwa ufupi, me huwa nasahau majina ya ndugu/jamaa/marafiki punde tu baada ya kutengana(hata kwa week)

Hili swala limekuwa gumu kulikabili, maana sometime nakutana na mtu ananiita majina yang matatu, ila me simjui hata jina lake halisi.

Kuna baadhi ya watu huhisi me nna dharau wakati hata sipo hivyo!
(nipo dit, Electrical Eng...mnajua fomula zilivyonying, na zote sizisahau...ila majina ya watu tu)
 
Back
Top Bottom