thanks.Kapime kuwango cha electrolytes kwenye damu pia jijengee tabia ya kunywa maji angalau litre mbili kwa siku. Kula nuts kama korosho almonds karanga nk. Kula matunda hasa ndizi na zabibu, zabibu kavu ma tende pia ni mzuri kutafuta.
Naweza kufaham umri nipate cha kukusaidia??habari wana jf, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina tatizo la kushikwa na misuli ya miguu na mara nyingi hunitokea nikiwa nimejipumzisha au wakati wa kula "chakuka cha usiku" tatizo ilo likitokea hua napata maumivu makali sn ata kama "nakula chakula cha usiku" shughuli huishia apoapo.