kalipeni
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 1,571
- 1,328
habari wana jf, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina tatizo la kushikwa na misuli ya miguu na mara nyingi hunitokea nikiwa nimejipumzisha au wakati wa kula "chakuka cha usiku" tatizo ilo likitokea hua napata maumivu makali sn ata kama "nakula chakula cha usiku" shughuli huishia apoapo.