ushauri au mwenye kujua tiba ya kukakamaa kwa misuli ya miguu

ushauri au mwenye kujua tiba ya kukakamaa kwa misuli ya miguu

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,571
Reaction score
1,328
habari wana jf, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina tatizo la kushikwa na misuli ya miguu na mara nyingi hunitokea nikiwa nimejipumzisha au wakati wa kula "chakuka cha usiku" tatizo ilo likitokea hua napata maumivu makali sn ata kama "nakula chakula cha usiku" shughuli huishia apoapo.
 
Kapime kuwango cha electrolytes kwenye damu pia jijengee tabia ya kunywa maji angalau litre mbili kwa siku. Kula nuts kama korosho almonds karanga nk. Kula matunda hasa ndizi na zabibu, zabibu kavu na tende pia ni mzuri kutafuna.
 
Kapime kuwango cha electrolytes kwenye damu pia jijengee tabia ya kunywa maji angalau litre mbili kwa siku. Kula nuts kama korosho almonds karanga nk. Kula matunda hasa ndizi na zabibu, zabibu kavu ma tende pia ni mzuri kutafuta.
thanks.
 
Mkuu jitahidi ule muda kabla hujalala kile kipindi umepumzika unaangalia taarfa ya habari, kula tende zako za kutosha na maji pia. Ni vizur lakin ukiwa unakula mara kwa mara na kunywa maji kwa wingi..

Ndizi pia usizipe talaka, kula kula ndizi mkuu, inasaidia kiongozi.
 
habari wana jf, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina tatizo la kushikwa na misuli ya miguu na mara nyingi hunitokea nikiwa nimejipumzisha au wakati wa kula "chakuka cha usiku" tatizo ilo likitokea hua napata maumivu makali sn ata kama "nakula chakula cha usiku" shughuli huishia apoapo.
Naweza kufaham umri nipate cha kukusaidia??
 
Back
Top Bottom