Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #21
Huyo jamaa ana matatizo , achana naye .Iv kuna team gani hapa Bongo ina facilities za maana kama Azam. Imefika mpaka wamejengewa viwanja viwili vya mazoezi. Smooth Ground na rough ground, Hostels za wachezaji NK. Kama ni mashabiki huwa wanaruhusiwa kuingia bure Chamanzi pale. Nini tena kinahitajika hapo...