Ushauri - Azam timueni wachezaji wote

Ushauri - Azam timueni wachezaji wote

Iv kuna team gani hapa Bongo ina facilities za maana kama Azam. Imefika mpaka wamejengewa viwanja viwili vya mazoezi. Smooth Ground na rough ground, Hostels za wachezaji NK. Kama ni mashabiki huwa wanaruhusiwa kuingia bure Chamanzi pale. Nini tena kinahitajika hapo...
Huyo jamaa ana matatizo , achana naye .
 
Iv kuna team gani hapa Bongo ina facilities za maana kama Azam. Imefika mpaka wamejengewa viwanja viwili vya mazoezi. Smooth Ground na rough ground, Hostels za wachezaji NK. Kama ni mashabiki huwa wanaruhusiwa kuingia bure Chamanzi pale. Nini tena kinahitajika hapo...
Kuingia kwa washabiki bure huo ni uamuzi wa timu(uongozi) na haimaanishi wakijengewa viwanja viwili na kuwa na facilities kibao iwe ni kigezo cha timu kushinda kila mechi? Labda wewe ujibu unataka Azam waweje labda unbeaten au iwe timu yenye kuingiza mapato makubwa?
 
Weee Yusuph kawekeza hela nyingi mzeee acha kabisa uwanja mzur posho nzur its a billions of money mzee
 
Kuingia kwa washabiki bure huo ni uamuzi wa timu(uongozi) na haimaanishi wakijengewa viwanja viwili na kuwa na facilities kibao iwe ni kigezo cha timu kushinda kila mechi? Labda wewe ujibu unataka Azam waweje labda unbeaten au iwe timu yenye kuingiza mapato makubwa?
Nimeandika mwanzo kabisa hapo juu. Azam ilitakiwa kuwa TP Mazembe ya East Afrika. Iwe team ya kuogopwa Afrika Mashariki na ata Afrika kwa sasa.
 
Kwahiyo TP mazembe huwa hawafungi kwa vile wanaogopwa kwao?
Sio kwamba TP Mazembe hawafungwi na hata msimu huu wameondoshwa kwenye michuano ya klabu bingwa ila wanachokipata na outcomes yao vinashabihiana mnooo..
 
Haya taja vyanzo vya maingizo yao na wakipatacho kisha ulinganishe na hao TP mazembe ili ueleweke
 
Huo huo lakini ni wa kwao.
Sasa kiongozi uwanja wa kuingiza watu elfu 7 unategemea return yake iwe kubwa vingine hata ukipiga hesabu kwa kutumia vidole unapata majibu..Azam bado wanakua na wanaendelea kukua kwa kuongeza mashabiki na kuendelea kuwekeza ili baadae wapate kile wanachokihitaji na ndomana wanapigana status yao isishuke na kwa sisi mashabiki tunaona timu yetu inakua na inaendelea kuwashawishi watu na kuwapa morali wachezaji ili wafanye vizuri na timu yoyote ili ikue inahitaji mashabiki katika ku support timu na kuingiza mapato kupitia vitu vyao wanavyouza
 
Iv kuna team gani hapa Bongo ina facilities za maana kama Azam. Imefika mpaka wamejengewa viwanja viwili vya mazoezi. Smooth Ground na rough ground, Hostels za wachezaji NK. Kama ni mashabiki huwa wanaruhusiwa kuingia bure Chamanzi pale. Nini tena kinahitajika hapo...

Nani alikudanganya kuwa na viwanja vya mazoezi ndio unapata mafanikio?

Mpira sio pesa ni combination ya vitu vingi.Wachezaji wa Azam hawana tofauti na wachezaji wa Mtibwa au Yanga
 
Ni sawa na ndo kitu tulichokuwa tunakizungumzia quality players tukilinganisha na uwekezaji wa Azam....
 
Back
Top Bottom